Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
Ndg zetu wenye makampuni husika tunawaomba mpunguze viwango au gharama mtutozazo ktk huduma za tigo pesa voda pesa,ili ziweze kuwa kama huduma na msaada zaidi kwa jamii nzima.
Ikumbukwe kwa mtumiaji wa mitandao ya simu ni ngumu kuzikwetpa! kwa maisha haya!kinachouzi zaidi ukitoa pesa juu ya 5elfu unakatwa 750/chini ya 5elfu unakatwa 600,kweli ktk viwango hivi ni kumsaidia mtanzania wa kawaida?/TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIPITIE UPYA SUALA HILI KWA JICHO LA KARIBU