Wowote tu ambao utakuwa wepesi kwako, na ukiulizwa maswali kutokana na ushahidi huo ujibu maswali hayo vizuri.Ushahidi wa namna gani unaouhitaji?wa video ama picha?
Kishule shule ilikuwa tunaambiwa uwepo wa usiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka
Kama huamini nenda mwenyewe angani kwenye earth's atmosphere ujifanye satellite ujipachike kwenye orbit uone kama unasonga au umesizi ukipata majibu uyalete JF
Calculations ni Uhalisia au sio uhalisia ? Unaweje kutumia Calculations kuthibitisha uhalisia wa dunia kuzunguka ? Usiniambie niangalie Calculatuons, sababu msingi wa Calculations unajulikana. Kama ushahidi huna sema huna.Mkuu unataka ushahidi gani? Kama ni calculations zipo nyingii unaweza kutafuta mwenyewe.. kama ni kwa kuona ndio unaona usiku na mchana.
Kama ni video hizo tafuta mwenyewe.
Ile mada iliisha zamani sana, kinachoendelea mule sasa hivi ni kupotezeana muda na watu kutetea wanavyo vipenda.Kuna mada ya sura ya dunia iliwakutanisha manguli walipambana balaa humu
Calculations ni uhalisia!!.Calculations ni Uhalisia au sio uhalisia ? Unaweje kutumia Calculations kuthibitisha uhalisia wa dunia kuzunguka ? Usiniambie niangalie Calculatuons, sababu msingi wa Calculations unajulikana. Kama ushahidi huna sema huna.
Ahsante.
Weka Calculations inayo onyesha Dunia inazunguka, ukiona ndani ina "Assumptions" ujue hakuna uhalisia hapo.Calculations ni uhalisia!!.
Au unataka ushahidi gani?? Wa video? Au?
Una uhakika hujapewa ushaidi?.....ungesema haujaridhika na ushahidi ulipolakini hatupewi ushahidi juu ya hilo
Sijapewa ushahidi, na ndio maana katika kupekua pekua kwangu, nikakutana na hizo kauli nilizo nukuu za wasomi manguli wa Sayansi, zikawa zimetilia nguvu kile nilichokiona ya kuwa hakuna ushahidi wa Kisayansi unaonyesha ya kuwa Dunia inazunguka, sasa kama wewe huo ushahidi unao tuwekee.Una uhakika hujapewa ushaidi?.....ungesema haujaridhika na ushahidi ulipo
Wenzako wanafanya utafiti wa anga za mbali wewe usiyeweza kuruka hata mita 2 juu unatilia shaka sasa unataka watu hapa wakupe ushahidi gani natabiri utafungua thread inayosema watu wakupe ushahidi kama utakufa.Kama huamini vitu vilivyokuwa establish baada ya scientific research basi wewe uje utafiti wakoHii mada haikuhusu mzee.
Nenda google chap au Youtube au tafuta Astronomy books.....ukikosa ushahidi huko kote usije kutegemea kuamini ushahidi utakao pata hapa JFSijapewa ushahidi, na ndio maana katika kupekua pekua kwangu, nikakutana na hizo kauli nilizo nukuu za wasomi manguli wa Sayansi, zikawa zimetilia nguvu kile nilichokiona ya kuwa hakuna ushahidi wa Kisayansi unaonyesha ya kuwa Dunia inazunguka, sasa kama wewe huo ushahidi unao tuwekee.
Naona umeshindwa kujibi hoja, unalalama tu.Wenzako wanafanya utafiti wa anga za mbali wewe usiyeweza kuruka hata mita 2 juu unatilia shaka sasa unataka watu hapa wakupe ushahidi gani natabiri utafungua thread inayosema watu wakupe ushahidi kama utakufa.Kama huamini vitu vilivyokuwa establish baada ya scientific research basi wewe uje utafiti wako