Ombi: Mkapa amtembeze Magufuli mikoani!

Ombi: Mkapa amtembeze Magufuli mikoani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,528
Sisi wanaccm wa mabibo tunamwomba katibu mkuu Kinana amuongeze Mkapa kwenye timu ya kampeni. Baada ya uzinduzi wa jana tumemwona ni yeye pekee anayeweza kuvaa viatu vya Nyerere na kukirudisha chama kwenye mstari. Nawasilisha!
 
Kwa Kuita Watu Wapumbavu marambili au???
 
Sisi wanaccm wa mabibo tunamwomba katibu mkuu Kinana amuongeze Mkapa kwenye timu ya kampeni. Baada ya uzinduzi wa jana tumemwona ni yeye pekee anayeweza kuvaa viatu vya Nyerere na kukirudisha chama kwenye mstari. Nawasilisha!

Huo utakuwa ni upumbavu na ulofa
 
nimekuelewa unacho maanisha matusi ya jana tuu tayari kuna kura kazipunguza za ccm sasa mikoa yote duuu
 
Mkapa kwa sasa nadhanı ndo mzee mlezi wa Tanzanıa.Siaminı km ataafiki nchi ıkabidhiwe kwa majambazı wa Ukawa.JK akilegea, naamini Mkapa anaweza kumwambıa nipishe nipge kazi.
 
Alipoenda Kenya akiwa chini ya Koffi Annan walikuwa wanasuluhisha UPUMBAVU NA ULOFA kama huu anaotaka kuuleteleza. Kweli nyani haoni la kwake
 
Back
Top Bottom