R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Ni ushauri tu; Nilikuwepo kwenye mkutano wa Raisi JPM , Pia ni muhanga wa tetemeko;
Tulipewa fomu za kujaza wenye malalamishi siku mbili kabla ya Raisi kuja na majina yaliwekwa kwenye kuta Shule ya Nshymba utakuta. watu wengi walijaza kulalamika kuhusu Nyumba .
Kilichojitokeza Ihungo kila mtu alikaa kimya:
Kuna manunguniko mengi kwa WANANCHI;
1. Mwenyekiti wa chama Taifa (JPM) kutofika na kujaza kitabu cha wageni makao makuu ya chama;
2. Gharama za vifaa zipo juu; Na mzigo wamepewa wananchi
3.Fomu za malalamiko zimefikia wapi au kauli ya JPM ilitengua malalamiko zaidi ya nyumba wahanga 780 za Bukoba manisapaa
Ushauri; Kama tulivyozoea wakati wa majanga jeshi linatumika;
Ni wakati wa kutumia malori ya Jeshi kununua Cement na Nondo VIWANDANI na kuuza bei ya kiwandani au karibu na kiwandani.
Pia JKT wauze matofari ya Block kwa bei ya Tsh 800
Serikali igharamie usafiri na mafuta ya magari ya Jeshi.