Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Grandson,
NO WAY! Vimungu mtu hutaka kukudhalilisha wakati mwingine usipokuwa mwangalifu. Nchi za watu makaratasi yako tu na jinsi unavyojituma ndio silaha yako huhitaji kimungu mtu wala fisadi akupigie debe. Kama unajali kazi yako na utendaji wako ni superb basi jamaa wanakuthamini na matunda yake utayaona. Siyo bongo, ntimanyongo kibao.
Son:
Kwa mara ya mwisho ulirudi lini bongo? Bongo hakuna watu wanaofikiri public service tena. Kila mtu anataka kuwa kimungu mtu au fisadi. Kila mtu anataka dili. Nchi imejaa vishoka.