Ombi maalum kwa viongozi wa chadema,,,,!!!!

Ombi maalum kwa viongozi wa chadema,,,,!!!!

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,955
Reaction score
9,534
Heshima kwenu,mimi ni mzaliwa wa MOROGORO jimbo la MOROGORO KUSINI MASHARIKI,lenye KATA 12 Jimbo hili kwa sasa linaongozwa na MAMA LUCY NKYA jimbo hili nikm halina KIONGOZI,Nimekuwa nikitembea huko VIJJN wa2 wengi wanahamasa KUBWA ya Mabadiliko tatizo % kubwa hawajajiandikisha,2naomba nguvu ya Viongozi wa CHAMA ktk uhamasishaji,Inatakiwa tuanze mapema kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa pia Uchaguzi mkuu,Ndg,TUMAINI MAKENE,J MNYIKA hebu fanyieni kz hili kwa maelezo zaidi PM plz!
 
Naunga mkono hoja, viongozi wa chadema tuma kikosi cha Ardhini mara moja, magamba hawatakiwi popote tanganyika!
 
Wanaharakati wa hayo maeneo wafanye kazi.....nchii ni kubwa sana Viongozi wa makao makuu peke yake hawataweza
 
si mida subiri chopa ishuke..kuna Vijana makini wa CDM wanapiga gwaride kali sana huko
 
Wanaharakati wa hayo maeneo wafanye kazi.....nchii ni kubwa sana Viongozi wa makao makuu peke yake hawataweza

Nikweli ndg yangu hata hivyo tunawaonea Huruma nakuwapongeza sana hawa viongozi cdhani km wanapata muda wakutosha kupumzika lkn hakuna namna TZ itawakumbuka kwa mchango wao! Tunahitaji viongozi 7bu huko Vijjn wanawackia kwenye MEDIA2 so uwepo wao wananchi wahisi kuthaminiwa Pamoja sana!
 
huyo Lucy Nkya yupo busy na matatizo binfsi..kuanzia nyumbani, ofisini, CCM , jimboni na hata watu wanaomzunguka...
 
si mida subiri chopa ishuke..kuna Vijana makini wa CDM wanapiga gwaride kali sana huko

Pamoja sana KAMANDA unajua watu wanadanganya wakiwa nyuma keybord Vijjn watu wamehamasika sana! Nakiukweli labda Serikali wakatae kutoa Pesa zakuboresha Daftari lakupigia KURA vinginevyo hali itakuwa mbaya sana kwa CCM tunaotembea vjjn tunaelewa hali iliyoko huko!
 
huyo Lucy Nkya yupo Busy kulea vichaa aliowajaza nyumbani...

Atajijua kiukweli CCM wanawadharau sana wananchi nnavyokwambia jana mpambe wake alituma msg kwamba leo atakutana wa wananch wa Jimbo hucka matokeo yake hakuja kapigiwa anasema yy anataka kukutana na wanakjj sio wanaoishi DAR jimbo lile kwakweli limekuwa SHAMBA la BIBI naona kuna member mwenze2 nae humu anataka kugombea km ckosei zemacopolo ss kwa michango ya ndg macopolo uantegemea akiwa MJENGONI atasema nin
 
Ni chama makini, watatekeleza haraka

Hilo ndilo hitaji letu tunajua viongozi wanachoka sana! Lkn hakuna namna wamechagua kz ngumu so hakuna kulala mpaka kielewe,cc wengine tunaamini ktk mabadiliko!
 
hiyo hamasa ya kujiandikisha ifanywe kwenye vijiji vyote vya TZ. tusipopata daftari la kujiandikisha tufanye maamuzi muhimu.....mpaka kieleweke....pamoja sana mkuu!
 
Pamoja sana KAMANDA unajua watu wanadanganya wakiwa nyuma keybord Vijjn watu wamehamasika sana! Nakiukweli labda Serikali wakatae kutoa Pesa zakuboresha Daftari lakupigia KURA vinginevyo hali itakuwa mbaya sana kwa CCM tunaotembea vjjn tunaelewa hali iliyoko huko!
huyo mama yupo hoi..CCM wenzie hawampendi, anajutia sana ,.na mitoto yake iliyokosa chakula cha kabisa imefuttuka hadi huwezi jua km ni wa kiume au wa kike....alidhani itaweza mrithi..wapi ipo busy kukimbizana na kununuliwa ili kutoa matamko...na kuuza mali za mama yao wakale vyakula visivyowafaa....kwa ujumla huyo mama keshanyoosha mikono..hatogombea tena....
 
Ni chama makini, watatekeleza haraka

Hilo ndilo hitaji letu tunajua viongozi wanachoka sana Lkn hakuna namna wamechagua kz ngumu so hakuna kulala mpaka kieleweke Kwa wote tunaoamini ktk mabadiliko nimuhimu kuweka Support kila inapowezekana! Watu wanapenda kwenda ULAYA hawakumbuki kuna watu walijitoa hd NCH hzo kuwa km zilivyo Wezi hawakuvumiliwa Kila uchaguzi wananch wanapima km iko7bu yakukichagua tena chama hicho huko ndo wengine 2natamani kuifikisha NCH ye2!
 
Tatizo hili nilikuta wilaya ya Chamwino hasa kata za chilonwa, majereko, membe.msanga, buigiri kidoogo ni nafuu kata ya manchali hasa chalinze nyama nyingi. Kanda ya kati kwa ujumla haijafanya kazi kabisa.
 
hiyo hamasa ya kujiandikisha ifanywe kwenye vijiji vyote vya TZ. tusipopata daftari la kujiandikisha tufanye maamuzi muhimu.....mpaka kieleweke....pamoja sana mkuu!

Mkuu kutoboresha Daftari ndo Fimbo ya mwisho waliyobaki nayo CCM tukifanikiwa kuwanyang'anya kwisha stori,,,! Pamoja tunaweza! mm naamini ktk mabadiliko cwachukii ccm as Binadamu NO nachukia maTENDO yao jinsi wanavyo2danganya mchana KWEUPEE! wakikaa pembeni kwa muda athink watajirudi,,!
 
mkianza muita atajifungia ndani na kulia....huwa hana majibu kabisa kwa tatizo lolote ..ataanza lia mnamchukia...Si unakumbuka alichofanya wizara ya afya.Hiyo ndio serikali ya CCM kila kitu kinauzwa..yule mama alinunu ubunge na Uwaziri ili ajipime na Mery Nagu..bahati mbaya kanyoosha mikono..kwa Nagu.
 
sijui kwanini watu wa kule walichagua mbunge mbea na anayeshauriwa na housegals wanaotaka promo ktk office yake...na wanamjua wakimpinga anawafukuza na kuwachukia kabisa? Well, ila watu wa amoro ndio watajua wanachagua watu walioharibikiwa kimaisha km wabunge...walimchagua gulamani, huyu mama na mwenzie wa wizara ya afya,na mizigo wengine.
 
Atajijua kiukweli CCM wanawadharau sana wananchi nnavyokwambia jana mpambe wake alituma msg kwamba leo atakutana wa wananch wa Jimbo hucka matokeo yake hakuja kapigiwa anasema yy anataka kukutana na wanakjj sio wanaoishi DAR jimbo lile kwakweli limekuwa SHAMBA la BIBI naona kuna member mwenze2 nae humu anataka kugombea km ckosei zemacopolo ss kwa michango ya ndg macopolo uantegemea akiwa MJENGONI atasema nin
Sasa huyu mbunge anayo shida sana..yeye na wanae hawana adabu kabisa, haheshimbu mumewe km watoto wasivyoheshimu baba yao, au ahta yeyote aliyewazidi umri..sijui watwaheshimu vipi wapiga kura...
 
Mkuu,Nicholas,inaonekana unamjua vzr sana huyu! Mama kiukweli kuna miKOA CCM wameifanya km maZEZETA! ila naamini miaka michache ijayo hali itakuwa tofauti na hawataamini kitakachotokea! cc wengine hatuhitaji hata card wala hela ya hao cdm 2ta2mia vipesa vyetu 2livyonavyo kuleta mabadiliko ya kweli! nawao cdm wakivurunda 2tawamwaga hapendwi m2! bt kwa sasa cc tuliotimamu hatuezi walaumu cdm 7bu bado hatujawapa NCH manake pamoja na uBUNGE lkn bado maamuzi makubwa niyaserikali inayoongozwa nahao jamaa wakiJAN
 
Back
Top Bottom