Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kwanza,nimpongeze Dr.Asha-Rose Migiro kwa uteuzi wake wa kuwa Waziri mpya wa Katiba na Sheria.Baada ya kuapishwa kesho,Dr.Migiro atachukua nafasi ya Waziri Mathias Chikawe ambaye anahamia Wizara ya Mambo ya Ndani. Mhe.Migiro,nikiri hapa,kwamba ombi langu ni la 'kibinafsi' sana. Ni kuhusu Mahakama ya Mwanzo,Mailimoja Kibaha Pwani.
Mahakama hii ni kongwe na chakavu sana. Inahitaji ukarabati.Kwa jinsi inavyohitajika katika kutoa haki kwa Wilaya nzima ya Kibaha,ni vyema ikakarabatiwa. Iko Mailimoja usoni kabisa mwa Mji wa Kibaha.
Dr.Migiro,hongera na nikuombe upokee ombi langu