VUA GAMBA VA GWANDA
Member
- Jul 25, 2013
- 12
- 0
Kama alivyodai kuwa alifanya utafiti na kujilidhisha kwamba tozo la shilshiling 1000 hata mwananchi wa hali ya chini anaweza kumudu kuilipa kwa kila mwezi, tunaomba aweke hadhalani wapi alifanya utafiti huo na wadau mbalimbali walioshiriki isiwe anatuuzia mbuzi kwenye gunia.
Ila kama ni propaganda kama walivozoea maamuzi haya yataitafuna serikali na chama chao CCM kwa wananchi wanaoishi chini ya dollar moja. Naishauri serikakli ikae chini ifanye uamuzi wa busara kwa wananchi.