Wasalaam;
Nachukua fursa hii kumtaka radhi yeyote niliye mkwaza kwa namna moja ama nyingine .... iwe kwa post zangu, comments zangu ama kwa namna nyingine iwayo yote ....
Mie ni mwanadamu na udhaifu kaumbiwa mwana adamu yeyote .... ni tamanio langu niishi katika amani ya moyo kuanzia sasa either nikiwa member JF ama nikiwa nje ya JF pia ....
Yeyote yule nilomkwaza yuko huru kabisa kuongea lolote ili kama pana machungu yatoke I'm ready to accept & receive whatever comes from your mind ....
Mwisho huu wa mwaka ndani ya JF na nje ya JF ukawe wenye MAFANIKIO TELE .....
NB: Ujumbe wangu katika post yangu ya mwisho wapatikana hapo katika picha juu.
HAVE ABUNDANCE OF GOD'S BLESSINGS ....