Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
sijui anatufundisha nini sie serengeti boys. nasikia anataka kurudiana na Vin Diesel
Unataka kukaa na ndoa mpaka mfanane sura kama mama maria na mwalimu?
kumbe bado hujatangaza lasmi..?? hizo ni fununu tu ila kama kuna ukweli wakurudiana na Mamndenyi weka wazi.
Mi yangu na kiwatengu nimeapdate this month 4th so niko salama
cheti chetu cha ndoa kime expire.
vipi lakini kunatofauti ipo baada ya kuapdate..?
ndo mpango mzima huo, embu nitafutie serengeti girl huko.
Heaven on Earth don let me down.lem do the needfull