Ombi la kiimani kwa mtumishi pdidy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi la kiimani kwa mtumishi pdidy

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Laura Mkaju, Aug 3, 2011.

 1. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako nami niwe mmoja wao. Asante
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuna jukwaa la udini, ipeleke huko
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hivi unakuwa unajuaje kuwa una jini mahaba?
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  haha hapa bana ninarafiki yangu mmoja alikuwa na hayo madubwasha yani yeye akiongea na mwanamke tu hata kwenye simu amemaliza kazi, ukimwacha na binti basi binti anakuja tu kujikuta akivaa nguo ya ndani, watu bana..
   
Loading...