Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,293
- 25,771
Kamq ulibahatika kuonana nae angekueleza mbagala kuu ,kijjchi mpaka mgeninan kuna wamakomde wengi sanaFafanua nduguu..
Kamq ulibahatika kuonana nae angekueleza mbagala kuu ,kijjchi mpaka mgeninan kuna wamakomde wengi sanaFafanua nduguu..
Mzee baba fafanua vizuri nimpe ramani kijana wangu. Ni mchongo gani, unatakiwa kufika ukiwa na nini n.kAmka asubuhi nenda mikocheni, kule kwenye mgahawa wa golden fork.
sisitiza una hitaji kumuona jabir (ni mnene), ukimpata jieleze vizuri atakupa mchongo na utaishi vyema.
Bro muachie dogo wa mbagala aliye anzisha uzi, aka jaribu kupambania ugali.Mzee baba fafanua vizuri nimpe ramani kijana wangu. Ni mchongo gani, unatakiwa kufika ukiwa na nini n.k
Platinum Credit Limited ni kampuni inayotoa mikopo kwa Watumishi wa Umma, wafanyabiashara na wafanyakazi kampuni binafsi.Salaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile:
Kuuza dukani
Uwinga
Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo mbalimbali
Kazi yoyote ya mikono iliyo halali
Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma bila kuchagua kazi.
Hitimisho:
Naomba tusaidiane kwa sababu hali ya maisha ni ngumu sana mtaani, hasa sisi vijana wasio na kazi au kibarua chochote, tunapitia changamoto kubwa na wakati mwingine kudharaulika. Msaada wowote au taarifa ya kazi nitashukuru sana.