mtoto ya simba
Member
- Jul 6, 2025
- 14
- 19
Salaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile:
Kuuza dukani
Uwinga
Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo mbalimbali
Kazi yoyote ya mikono iliyo halali
Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma bila kuchagua kazi.
Hitimisho:
Naomba tusaidiane kwa sababu hali ya maisha ni ngumu sana mtaani, hasa sisi vijana wasio na kazi au kibarua chochote, tunapitia changamoto kubwa na wakati mwingine kudharaulika. Msaada wowote au taarifa ya kazi nitashukuru sana.