Ombi kwa wanajamvi

Ombi kwa wanajamvi

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Heshima kwenu wakuu...
Katika din zetu na kibinadamu/kiutu ni kosa kuua.

Kumekuwepo kwa mauaji ya kinyama na kikatil kwa watoto wachanga na utoaji mimba katika jamii zetu.
Lawama nying uelekezwa kwa wanawake lakin kiukwel hata wanaume wanahusika kwa kias kikubwa.
Kutokana na mauaji yaha kuwa makubwa japo yanafanyika kwa siri lakin ni meng.

OMBI; kama jukwaa tutenge siku maalumu ya kuwaombea malaika hawa waliokatishiwa uhai wao kutokana na starehe za wazaz wao wasio kuwa na utu wala huruma na washindwao kujiuliza iwapo wazaz wao wangelifanya hivyo wenyewe wamgelikuwepo?
Inauma afu ukizingatia wengine wanalia wamekosa watoto.
NAWASILISHA.....
 
Kuna mchungaji humu anaitwa Rev Fr KABOKA mchizi alishaandika uzi humu kuhusu abortion, tutamuomba aongoze hyo ibada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom