Ombi kwa UKAWA

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Kwa mtazamo wangu kwenye kundi la ukawa hakuna kiongozi ambaye anakubalika na anamvuto kwa wananchi kuwa rais. Tafuteni mtu anae kubalika, ukweli mimi ni ccm ila kwa mapigo haya kuna jambo lazima watz tuwefanye. Angalia hapa bandari watu wamepiga pesa, tpdc wamepiga pesa,nida wamepiga pesa,escrow wamepiga pesa,bima ya afya wamepiga pesa,rais,pm wanapiga pesa safari kucha nje mahospitali hakuna dawa. Jk yote haya huyajui?.
 
Ukawa wagombea wao kama wa3 wapo na wanamvuto ile mbaya kwa upande wa urais,,,ila kwakuwa ccm wana haraka na kutaka kujua ni nani atasimamishwa na ukawa ili wamjui na kaunza kupambana nae na hapo ndo wanajifanya eti ukawa hakuna mtu mwenye mvuto...ukawa wako kimya na wanajua ni nani watamsimamisha na hapo ndo kutawaka moto ccm ha haaaa..mbona ccm mnakua na haraka na kutaka kujua mgombea wa ukawa..muwe wapole
 
Kwa mtazamo wangu kwenye kundi la ukawa hakuna kiongozi ambaye anakubalika na anamvuto kwa wananchi kuwa rais. Tafuteni mtu anae kubalika, ukweli mimi ni ccm ila kwa mapigo haya kuna jambo lazima watz tuwefanye. Angalia hapa bandari watu wamepiga pesa, tpdc wamepiga pesa,nida wamepiga pesa,escrow wamepiga pesa,bima ya afya wamepiga pesa,rais,pm wanapiga pesa safari kucha nje mahospitali hakuna dawa. Jk yote haya huyajui?.

Umeongea mambo mawili: Ukawa kutokuwa na mgombea mwenye mvuto kwa wananchi (kwa mtazamo wako) na mambo ya kupiga pesa serikalini. Sijaona uhusiano wa hoja hizo.
 
Back
Top Bottom