Ombi kwa Tanesco

iddhassan

Senior Member
Jul 26, 2016
100
133
Fanyeni utaratibu tuweze kununua umeme kama vocha za simu na kuingia moja kwa moja kwenye mita.kwa kuwa mita namba inaelekea hili inawezekana kabisa enzi hizi za digital
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunashukuru kwa kuchagua kutupatia taarifa kupitia mitandao yetu ya kijamii,Tumepokea taarifa zako kwa ufatiliaji na hatua zaidi

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu
 
Fanyeni utaratibu tuweze kununua umeme kama vocha za simu na kuingia moja kwa moja kwenye mita.kwa kuwa mita namba inaelekea hili inawezekana kabisa enzi hizi za digital
Kufanya vidogo vya kawaida kama kukuungia umeme au kutoa taarifa kuwa watakukatia umeme hawa jamaa wana struggle,alafu unategemea waanzishe system sensitive kama hiyo.Sababu itabidi wabadirishe mifumo yao mingi,has meter itabidi mwekewe 'smart' meter,ndo hicho unachokitaka kitawezekana,personally i don't see this happening anywhere near future.I hope am wrong.
 
Uko sahihi. Bila smart meter tusahau
 
Back
Top Bottom