OMBI KWA TAMISEMI

OMBI KWA TAMISEMI

brobiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
625
Reaction score
855
Habari za asubuhi ndugu watanzania moja kwa moja niende kwenye mada najua humu wapo wadau wengi na ni matumaini yangu ujumbe huu utawafikia wahusika, hii ni mahususi kwa ajira mpya za mwaka huu, naona serikali inapata ugumu sana kulipa pesa za kujikimu sijajua shida ni nini lakini naamini ni haki Yao kama iyo pesa serikalini haiwezi kuitoa basi wangepewa access hata ya kukopa bank kwa dhamana ya mishahara Yao kwa sababu kumbuka mchakato wa ajira ulihusisha procedure nyingi sana mwaka huu, kuanzia interview, kufata barua Dodoma na kwenda halmashauri kuripoti
 
Back
Top Bottom