Ombi kwa Rais wa Zanzibar: Ongea na IMF na WB mwenyewe achana na Tanganyika

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Ni wazi kuwa Tanganyika hawapo serious au wan upeo mdogo sana kwenye kukabiliana na majanga.
Hapa najiuliza waliwezaje kumpiga Idd Amini?

Inabidi muelewe kuwa Idi Amini ? Inawezekana Tanganyika ili play part ndogo sana.

Tatizo sio wanajeshi ila Tatizo ni viongozi na maandalizi ndio kila kitu.

Kwa kusema hayo Rais Shein nakuomba uwasiliane ma Imf na Wb uwape breakdown zako na mahitaji yako jinsi utakavyokabiliana na janga hili na jinsi utakavyo wasaidia wananchi wa ngazi ya chini.

Huku Tanganyika wakubwa wamejificha na mpaka sasa hivi hawatoi data tena. Sio kwamba hakuna maambukizi la hasa. Wameamua kuwa #WAKAIDI.

Angalia maisha ya kisiwani mnajitahidi sana tangia siku ya kwanza na case zote mnazitangaza. Mmeonyesha akili kubw tangia mwanzo na hakika hata sekta ya utalii itapanda hapo mbeleni kwa sababu hamjaficha kitu kama huko Tanganyika.

Kitakachowapata Tanganyika ni kutenga na mataifa mengine kam walivyo sababisha tukanyimwa green card.

Tafadhali sana Rais wetu Shein we trust you na utatuvisha.

Na huu ndio mwanzo wa kuvunja huu Muungano batili kwa sababu watanganyika ni low minded Na incompetence.
Kila mtu anaona.

Asante haya ni mawazo yangu na sio msimamo wa JF
 
saint Ivunga unachosema ni ukweli kbisa. ikumbukwe kuwa Zanzibar wanategemea zaidi sekta ya utalii. sasa ikiwa hawatajitahidi sana kujidhatiti ili kufikia LENGO LA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI na kuhakikisha kuwa wanatoa takwimu sahihi ili kurudisha imani. hali hii itawagharimu sana baadae.
 
Watalii wanapenda sana uwazi/transparency. Mkificha ficha mambo wataogopa kuja, wanaogopa.
Na hasa USA ukificha ficha mambo wanakupotezea
Naunga mkono hoja, japo mm mtanganyika hatuwezi kuwapoteza ndugu zetu Wa Zanzibar kwa upumbavu Wa mwanachato mmoja, fungeni bahari ongeeni na mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatupasa kusubiri tena kauli nyingine kutoka mafichoni, pengine mara hii itakuwa si kufukizia tu bali kutumia bange kidogo na kulamba kipande kidogo cha limao ili upate matokeo mazuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafichoni nasikia dude liliingi wagonjwa wakapelekwa mwanza fasta, na mji mzima ukapigwa lock down na kupulizwa dawa.

Yani jamaa ni muoga japo mkaidi
Inatupasa kusubiri tena kauli nyingine kutoka mafichoni, pengine mara hii itakuwa si kufukizia tu bali kutumia bange kidogo na kulamba kipande kidogo cha limao ili upate matokeo mazuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi kuwa Tanganyika hawapo serious au wan upeo mdogo sana kwenye kukabiliana na majanga.
Hapa najiuliza waliwezaje kumpiga Idd Amini?

Inabidi muelewe kuwa Idi Amini ? Inawezekana Tanganyika ili play part ndogo sana.

Tatizo sio wanajeshi ila Tatizo ni viongozi na maandalizi ndio kila kitu.

Kwa kusema hayo Rais Shein nakuomba uwasiliane ma Imf na Wb uwape breakdown zako na mahitaji yako jinsi utakavyokabiliana na janga hili na jinsi utakavyo wasaidia wananchi wa ngazi ya chini.

Huku Tanganyika wakubwa wamejificha na mpaka sasa hivi hawatoi data tena. Sio kwamba hakuna maambukizi la hasa. Wameamua kuwa #WAKAIDI.

Angalia maisha ya kisiwani mnajitahidi sana tangia siku ya kwanza na case zote mnazitangaza. Mmeonyesha akili kubw tangia mwanzo na hakika hata sekta ya utalii itapanda hapo mbeleni kwa sababu hamjaficha kitu kama huko Tanganyika.

Kitakachowapata Tanganyika ni kutenga na mataifa mengine kam walivyo sababisha tukanyimwa green card.

Tafadhali sana Rais wetu Shein we trust you na utatuvisha.

Na huu ndio mwanzo wa kuvunja huu Muungano batili kwa sababu watanganyika ni low minded Na incompetence.
Kila mtu anaona.

Asante haya ni mawazo yangu na sio msimamo wa JF
Wakati wa vita dhidi ya Amin, usilinganishe na sasa. Pamoja na mapungufu madogomadogo lakini Serikali ilikuwa thabiti, na viongozi walikuwa thabiti.

Kuna wakati kulikuwa na njaa,Mwalimu alihangaika kutafuta chakula mpaka America, akapata msaada wa chakula - tulikuwa wadogo kabisa lakini tunaikumbuka kitu tulikuwa tunaiita buruga na unga wa njano. Mwalimu hakutaka kabisa watu wake wafe njaa. Kama ingekuwa ni huu uongozi wa sasa, sijui kungetokea nini!!

Mwalimu hakupenda kuwa ombaomba lakini alikuwa kuwa ombaomba alimradi watu wake wasife kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi kuwa Tanganyika hawapo serious au wan upeo mdogo sana kwenye kukabiliana na majanga.
Hapa najiuliza waliwezaje kumpiga Idd Amini?

Inabidi muelewe kuwa Idi Amini ? Inawezekana Tanganyika ili play part ndogo sana.

Tatizo sio wanajeshi ila Tatizo ni viongozi na maandalizi ndio kila kitu.

Kwa kusema hayo Rais Shein nakuomba uwasiliane ma Imf na Wb uwape breakdown zako na mahitaji yako jinsi utakavyokabiliana na janga hili na jinsi utakavyo wasaidia wananchi wa ngazi ya chini.

Huku Tanganyika wakubwa wamejificha na mpaka sasa hivi hawatoi data tena. Sio kwamba hakuna maambukizi la hasa. Wameamua kuwa #WAKAIDI.

Angalia maisha ya kisiwani mnajitahidi sana tangia siku ya kwanza na case zote mnazitangaza. Mmeonyesha akili kubw tangia mwanzo na hakika hata sekta ya utalii itapanda hapo mbeleni kwa sababu hamjaficha kitu kama huko Tanganyika.

Kitakachowapata Tanganyika ni kutenga na mataifa mengine kam walivyo sababisha tukanyimwa green card.

Tafadhali sana Rais wetu Shein we trust you na utatuvisha.

Na huu ndio mwanzo wa kuvunja huu Muungano batili kwa sababu watanganyika ni low minded Na incompetence.
Kila mtu anaona.

Asante haya ni mawazo yangu na sio msimamo wa JF
Ni kweli kwamba hufahamu Wizara ya Afya Zbar iko tofauti na Bara? Hata majina ya wizara yanatofautiana. Hata bajeti ni tofauti. La muhimu ni kuhakikisha kwamba pesa inayoingia nchini kwa masuala ya Afya, kwa nchi, Zbar wapate sehemu yao na waitumie wanavyotaka. Hawana njia ya kuomba pesa iliyoingia nchini kupitia WB. WB haitoi misaada, ni mikopo. Je, unaweza kulilia mkopo? Je uwezo wako wa kulipa mkopo ukoje? Usililie mkopo wakati huna uwezo wa kulipa.
 
Back
Top Bottom