Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?!Padri hawezi kugombea Uongozi wa kisiasa, yeye ni Kiongozi wa Imani. CCM itatuletea Mgombea Urais Mwanaume ambaye ana hofu ya Mungu 2025.
Watamalizana na waumini humo humo makanisani na misikitini. Kitaeleweka TU...viongozi wa dini waingie barabarani kushinikiza mabadiliko ya katiba.
Why!Haiwezekani
Huyo anastaafu rasmi 2025. CCM haiwezi kufanya kosa la kuleta mgombea asiyekubalika. Pia fomu za ugombea urais CCM zitakuwa nyingi kama katiba inavyoruhusu wote wenye sifa kuomba na kuingia kwenye mchujo kumpata mmoja mwenye sifa zaidi.Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?!
Watanzania ndio wanataka Rais mpya 2025 asiye na tuhuma zozote zile.Nani alikudanganya hapo kijijini kwenu?
Elewa hivyoWhy!