fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,168
Nakuomba uandike salua ya al marhoom Joseph Kasela Bhantu,ili watanzania wamfahamu huyu mwamba
Huyu si mwenzetu sisi tumejikita zaidi na Wazee wa Kariakoo na MakobaziNakuomba uandike salua ya al marhoom Joseph Kasela Bhantu,ili watanzania wamfahamu huyu mwamba
Hawezi kutia pua ikiwa mhusika ni Mgalatia.
Kwani huyo alikuwa ndugu katika imaan?!Nakuomba uandike salua ya al marhoom Joseph Kasela Bhantu,ili watanzania wamfahamu huyu mwamba
wewe humjui mohammed said mie namfahamu kwa miaka 39 iliyopitaKwani huyo alikuwa ndugu katika imaan?!
Mwenzako anaandika historia ya watu wa dini( ili apate swawabu) na pia anaandika ya vinasaba wake wa kariakoo na gerezani.
Inahusiana nini na nilichoandika ?!wewe humjui mohammed said mie namfahamu kwa miaka 39 iliyopita
ulivyosema kuwa huyo jamaa huwa haandiki watu wa dini fulani ndio nami nakwambia namfahamu kuwa ulivyosema sivyo kwani namjua vizuri huyo jamaa kuliko weweInahusiana nini na nilichoandika ?!