i wish niuone asee
Wana jf, mlioangalia
mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa
ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena
yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.
Mdahalo umekuwa wa kizalendo zaidi, warioba na wenzake wameonyesha uadilifu usio na mashaka kwa umma wa watanzania!
Co kurudiwa tu, tena watoe CD na DVD tutazinunua kwa 10,000
Mkuu nimesikitika nilikuwa naurekodi wote mpka mwisho nakuja tafuta file ktk cm silioni kweli nimeamini ccm ni wachawi
Naunga mkono mdahalo urudiwe. Tutumeni email kwenye ile email ya ITV