Ombi kwa Dr. Slaa na Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa Dr. Slaa na Mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, Jan 6, 2012.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kosa kubwa baba wa Taifa alilofanya ni kutokuandaa viongozi wenye fikra na mitizamo kama yake na ndio maana wengi waliomfuata wamevuruga vuruga.

  Dr. Na Mnyika naona kama viongozi wa class ya pekee kwa taifa hili naomba mniandae na mimi kuwa kama nyie na vijana wengine ambao wana wito wa kuwa kiongozi wa watu na sio tumbo zao, "Political Mentor"

  Natumaini ombi langu mtalifanyia kazi.

  Heri ya mwaka mpya 2012 niko kisiasa zaidi.
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  kama jf ndipo pa kuombea ombi hili!!basi wewe political mentor wako ni STEVEN MASATU WASIRA,huyo ndio anakufaa.
   
 3. K

  KIROJO Senior Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mambo mengine sasa wewe njina lako kwanza sijuwi ni likitu gani then ufundishwe wafundishe mzimu wewe ujitokezi kuunga mkono CDM na harakati zake.Nenda OFISINI ukapate maelekezo
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kindness is the language that a deaf and dumb can understand
   
 5. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  ukweli unauma!!!lakini Tyson ndio political mentor wako kwa comments zako!!!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Dr. Slaa ndiyo mmoja ya masalia machache aliyoyaacha Mwalimu! huyu ndiye aina ya watu wanaofaa kuiongoza nchi yetu Tanzania, ni mtu mwenye uchungu na nchi yake, na hili amelionyesha kwa vitendo!
  Hongera Dr. Slaa, tunakusubiri uingie Ikulu kwa Kishindo 2015.
  Ila nahisi kama vile kuna Presidential by Election vile!
   
 7. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hujakosea kuwa kuna presidential by Election kwani Lubuva ametuhakikishia kuwa hana jipya so ataendelea kuchakachua kura za Dr.
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Sitaki kutokwa povu kama wewe ila najua kuwa una mdate mtoto wake yule anayeakaa pale mikocheni anafanana sana na baba yake, kwa hio unamtafutia baba mkwe soko? Unataka na mimi nikalale bungeni?
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wasalimie Rorya
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ganja bhana
   
 11. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
   
Loading...