Ombi kwa diwani atakaechaguliwa sombetini

Ombi kwa diwani atakaechaguliwa sombetini

dadazuu

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
46
Reaction score
8
Mimi ni mwana Sombetini nina jambo nakuomba mheshimiwa diwani hebu fatilia hizi barabara zikamilike na zijengwe kwa viwango. Mfano ni hii barabara inayoelekea JKT Oljoro imekuwa ikichimbwa kila mara na ni kero kubwa kwetu watumiaji. Pia barabara ya Ngusero ikamilike ili kupunguza msongamano wa watumiaji waendao Kwa Mrombo na Olasiti. Kila la heri mheshimiwa diwani
 
ukitaja sombetini unanikumbusha matejoo 1997 to 1999 niliishi mitaa ya shamsi nikapigwa tv na radio
 
Acha kabisaa ... Hiyo mitaa inahekaheka zote mbaya zilizoko duniani
 
Hata kama haingii humu Jf ujumbe atspata kuna wapita njiaa
 
Back
Top Bottom