Ombi kwa Bernard Membe

Pesa za Libya hizo jengeni kiwanda kilichokusudiwa pale Lindi acheni mambo hayo
 
MPENI TUNDU LISSU !
 
Umewrong ndugu. Nchi hii 2020 ni ya Tundulissu.
 
Mmeanza tena kiherehere chenu, aliyekwambia Bernard Membe atakuwa mzima wa afya kuliko Lowassa mwaka 2020 ni nani? Na aliyekwambia upinzani hakuna mtu wa kuweza kuwa Rais ni nani? Wanaomtoa kamasi Magu kwa sasa ni akina Membe?
 
Rais wa TLS anatosha kumdhibiti kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa wanasheria
 
Hujafa hujaumbika kijana, muogope Mola wako maana aliyekupa wewe uzima ndiyo aliyemnyima yeye! Acha kabisa kiburi cha uzima ndugu yangu tena nenda katubu na usirudie tena kosa!
 
Sijawahi kuona hoja ya kijinga kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…