itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,072 Reaction score 1,867 Dec 8, 2024 #1 Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante
Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,578 Reaction score 5,378 Dec 8, 2024 #2 Sawa tumekusikia, ila leo simba hatoboi
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,142 Dec 8, 2024 #3 Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,699 Reaction score 41,862 Dec 8, 2024 #4 Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima.
Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,699 Reaction score 41,862 Dec 8, 2024 #5 itakiamo said: Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante Click to expand... Nunua dstv achana na upuuzi wa azam.
itakiamo said: Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante Click to expand... Nunua dstv achana na upuuzi wa azam.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,142 Dec 8, 2024 #6 jiwe angavu said: Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima. Click to expand... Mpaka inakera Manyimbo yenyewe hovyo sana ya wakenya mabaya na hayaeleweki za bongo watapiga moja then kumi Kenya na kumi Uganda Chanel ni ya wakenya nini?
jiwe angavu said: Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima. Click to expand... Mpaka inakera Manyimbo yenyewe hovyo sana ya wakenya mabaya na hayaeleweki za bongo watapiga moja then kumi Kenya na kumi Uganda Chanel ni ya wakenya nini?
Mzee Rufiji JF-Expert Member Joined Aug 24, 2024 Posts 469 Reaction score 736 Dec 8, 2024 #7 jiwe angavu said: Nunua dstv achana na upuuzi wa azam. Click to expand... Dstv hawana baya zile chanel zao za kule mwishoni za ngoma tofauti kama Reggae, Country, Blues, Hiphop nazipendaga sana
jiwe angavu said: Nunua dstv achana na upuuzi wa azam. Click to expand... Dstv hawana baya zile chanel zao za kule mwishoni za ngoma tofauti kama Reggae, Country, Blues, Hiphop nazipendaga sana
kevoomarcus JF-Expert Member Joined Dec 3, 2023 Posts 531 Reaction score 944 Dec 8, 2024 #8 Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Chaneli Yao ndomana usiwapangie
Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Chaneli Yao ndomana usiwapangie
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,142 Dec 8, 2024 #9 kevoomarcus said: Chaneli Yao ndomana usiwapangie Click to expand... Kumbe ndiyo maana
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,072 Reaction score 1,867 Dec 9, 2024 Thread starter #10 Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Yeah ile ya kiboya, siitaki mm nataka Trace naija
Its Pancho said: Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana Click to expand... Yeah ile ya kiboya, siitaki mm nataka Trace naija
Davidson david JF-Expert Member Joined Jul 26, 2023 Posts 1,027 Reaction score 1,063 Dec 9, 2024 #11 Sawa maombi yenu nmepokea nitaongeza imeisha hiyo
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 845 Reaction score 1,443 Dec 13, 2024 #12 Ila dstv wapo vizuri,huwa nazikubali redio zao kila station ina aina yake special ya nyimbo unachagua tu
Ila dstv wapo vizuri,huwa nazikubali redio zao kila station ina aina yake special ya nyimbo unachagua tu