Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 3,533
- 6,927
Hivi Una ubavu na Konki Mh Dkt waziri wa Fedha na Mipango?.Kesho ifike tu bro, nijipoze na jibapa hadi nione kitanda kinazunguka π
Njoo nikutoe nyege bebiMlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
Njoo nikuungisheMlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
SIRA 31:27 ImeandikwaMimi nimeanza leo ,kesho nipo off mpka jpili ndio naingia job
Braza mimi sifanyi kitu mpaka kiandikwe ila mara zote nazingatia vitu bora ,nafikiri biblia iliandikwa na mtu mwenye fikra kama zanguπ€SIRA 31:27 Imeandikwa
......Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu....
Upe moyo kilicho boraπΊπΊπΊ
Wanajiendekeza tu.Ni wanawake wachache mno wenye uwezo wa kumudu gharama za maisha yao bila kutumia maquu.
Mpige chini, muweke mwingine.Si ndo wa kifurushi wengine na mambo yao
Kwenye mapambano yote ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k, K ni silaha muhimu kwake.Wanajiendekeza tu.
Mwanamke Ukiwa Golikipa ni ngumu sana kuchomoka kwenye huo mfumo.
Ila wanawake Weng wanachakarika , wana akili na wanajitahidi kupambana zaid hata ya wanaume wengine..
Alaf K yao wanampa anayestahili.
Ukiacha ugoli kipa, hawa wengine ambao wanauwezo ila wanauza K ni tamaa tu.
Ya kutaka mambo makubwa ambayo uwezo hawana, ni Tamaa tu.
Watulie na ridhk Mungu alizowajalia.
One Day Yes.
Unakua na pisi inakosa kifurushi kweli???Kweli wanawake wa kibongo ni omba omba π
Yaani mwamba anaichapa kwa kununuq kifurushi tu??Si ndo wa kifurushi wengine na mambo yao
ππ piga chiniUnakua na pisi inakosa kifurushi kweli???
Subiri kwanza, nakupigia.....πWewe si unajiweza?
Uko wapi?
Ila wanawake nyinyi.ππ piga chini
OverSi nilikwambia mtaachana tu ukabisha
Yako wapi sasa
Posho zimestopishwaBabes nani tena? mi nikajua rasmi uko single.
Nope hapana kwa kila kituYaani mwamba anaichapa kwa kununuq kifurushi tu??
Siku hizi nikikaa mezani na bia moja kama hivi naona aibu sanaBro. Niko Goba center hapa. plan B.
Leo mdogo mdogo, natafuta hamu ya kula tu. tmr ndio siku ya kupata Kimea zaid.
View attachment 3342369