Omba yasikukute eh!!!

Kaka leo weekend tunakula pombe wapi bwashee
 
Workmate.
Mh Dkt Evelyn Salt, waziri wa Fedha na Mipango serikali teule ya Mh Rais Dennis Roberts. πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Kuna mtu katoa uzi wa kumdiss rais wetu, inabidi tumvagae kama wafanyavyo chawa wa mama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila pia nawaza utakuta huyo mtu ni rais mwenyewe kaamua kuja kujidiss ili tumuongelee, make rais wetu nae ana mambo mengi πŸ˜‚
 
Sijauona huo uzi aisee...

Ngoja niutafute nikatie neno, asituharibie maisha kabisa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Akimponda Raisi ina maana kaponda baraza letu lote la mawaziri. Lazima tudeal nae

Rais amenyooka hawez fanya ile mambi tena. Kukosea ni mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…