Omba omba ya Chadema ni haramu; tulaani utapeli huo!

Omba omba ya Chadema ni haramu; tulaani utapeli huo!

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu rahisi kama kuongoza chadema

kuongoza chadema ni kama kuendesha baiskeli tu, huwezi kushindwa.

Wafuasi wa chadema wameisha kuwa brainwashed na ni kazi ngumu sana kurudisha kwenye hali ya kawaida

Acha kujikweza Chris Lukosi, Chilisosi....... ID kibao shida nini?? Eti sawa na kuendesha baiskeli.... Acha dharau.......mfyuuuu
 
Last edited by a moderator:
Vipi umechangia shs ngapi kwenye hilo box?
 
We hamy unajua maana ya utapeli??? Utapeli ni kujipatia kitu kwa nia ya kukopa kumbe unaishia nacho.. Wanacdm wanatoa wenyewe kwa moyo,wanatoa hadharani bila kulazimishwa,kumbuka ruzuku haitoshi kuimarisha chama pekee...
Mbna husemi wizi wa ccm kwenye kodi ya lne za simu? Mbona huzungumzii fedha za epa? Vp pesa mlizoiba na kuficha uswis? Vp kuhusu mchango wa lazima wa wfanya biashara bukoba ili meya asiondolewe?? We mama una mimba changa,kalale umechoka
 
CCM Inawaibia wanainchi wake kwa kuwachangisha mafuta ya MWENGE je???sini wizi wa mchana kabisa sehemu nyingine watu wanalazishwa kutoa michango ya mafuta ya MWENGE HATA KAMA UNA BIASHARA KAMA HUTATOA WAWEZA FUNGIWA,SIJUI SASA TUTACHANGIA MAFUTA YA MWENGE MPAKA LINI.
 
WanaJF!

Dhana ya kuchangia chama cha siasa kwa kujitolea si vibaya kwa baadhi ya matukio yenye uhitaji wa kuchangiwa kwa hali na mali ikiwemo chaguzi.

Dhana hii imekuwa ikitumiwa kimakosa na viongozi wa CHADEMA kwani wao wameigeuza dhana hii na kuifanya tabia, kwani kila mahali wakikutana na wananchi wao ni kutembeza bakuli tu.

Hali hiyo ya kupitisha maboksi kwa walala hoi na kushawishi kuchangiwa imekuwa ni kama utapeli, kwani ni wazi kuwa CHADEMA ina jitosheleza kimapato ya kuendesha mikutano na ina wadhamini wakubwa tena wafanyabiashara.

Aidha, katika kufanikisha azma yao hiyo ya kutapeli wananchi kwa mwamvuli wa kuchangia mabadiliko, wamebuni mbinu ya kuweka watu wao mbele ili watakapo changia wao kwa wingi iwe chachu ya kuhamasisha na walala hoi nao kuchangia, huu ni usanii wa CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa vyama vya siasa vina ruzuku kutoka serikali na kazi mojawapo ya ruzuku kwa vyama vya siasa ni kuwezesha vyama kufanya shughuli za siasa ikiwemo mikutano, sasa kwanini CHADEMA ipitishe kapu kwa walala hoi?

Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wapo mikoani kuelimisha wananchi kuhusu suala la katiba mpya, lakini jambo la kusikitisha ni kuona viongozi hao wa CHADEMA wakipitisha maboksi kwa ajili ya kuchangiwa pindi wanapo maliza kutoa elimu hiyo kwa wananchi. Je, hivi ndivyo jinsi elimu kuhusu katiba inavyo tolewa?

USHAURI KWA CHADEMA;

Kwa kutambua kuwa siasa sio uadui, nichukue fursa hii kushauri viongozi wa CHADEMA kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali ya chama yenye tija ili kuweza kuingizia chama mapato ya ziada kwa ajili ya chama, badala ya huu utaratibu wa kuwakamua walala hoi unao ongozwa na kamanda Mbowe.

View attachment 107061Mbowe akipitisha boksi kwa walala hoi kwa ajili ya kuchangiwa hela baada ya mkutano.
Imekuuma nini kwani na wewe umeombwa? Mbona mh.sana dhaifu pamoja na kwamba anakusanya kodi,anauza chochote anachotaka bado ni ombaomba wa kimataifa.

CCM mnachangisha tena sana ila tofauti na CDM ni kwamba wakati CDM wanapitisha bakuli ili watu wachangie kwa iyari nyie mnazunguka na karatasi kwenye ofisi na biashara za watu na kuwapa vitisho kibao ili wachangie.
 
Wewe Hamy-D ni mburula na tena ni ----- mtozeni.kwanza nieleweke kuwa hayo niliyo anza nayo si matusi la hasha,ni maneno ya picha yanayo kuelezea wewe jinsi ulivyo kwa ujumla wako.Mburula ni mtu aliyepitiliza upumbavu na ----- ni mtu aliyepiliza unyonge.Yote hayo huja tu pale mwanadamu anaposhindwa kutumia maarifa kidogo aliyopewa na mungu kutambua juu ya thamani yake binafsi na za wengine.sasa wewe Hamy-Dy kwa kuwa unayo hayo,basi huna UTU ndiyo maana kwako wewe chochote kitakacho fanywa na CHADEMA ulishajiandaa kwa mtazamo hasi(negative mindset).Mwaka jana kuliwekwa thread hapa yenye kutaka tuchangie'je,kwa nini wanachama wa chadema huchangia chama chao kwenye mikutano? 'hivyokama Hamy-D ungekuwa na kumbukumbu ya kutosha,majibu ya hoja yako ungeyapata kwa urahisi.ITOSHE TU KUKUMbUSHA KUWA utaratibu huu hukiweka chama karibu na ktk milki ya wanachama.Pole yao wanao kusifia kwa upumbavu wako.
 
WANA HISA wa cdm ni raia wema,wana hisa wa ccm ni MAFISADI na WAUZA UNGA,NYARA ZA SERIKALI!Bi shosti Umejuaje kama cdm inajitosheleza kimapato weka hapa financial statements
 
Nimesema "tulaani utapeli huo",hivyo hata wewe unaweza kuwa mmoja wa watakao shirikiana nami kulaani huo utapeli wa CHADEMA.

Nakushauri ungeanza kwa kupaza sautí kulaani wízi wa mali za taifa hili unaosababishwa na viongozi wa ccm, ungelaani uuzaji wa madawa ya kulevya unaofadhiliwa na viongozi wa chama cha mapinduzi, ungelaani kwanza jeshi la polisi na serikali ya ccm kwa jinsi ilivyopelekea kuuwawa watu na matukio ya umwagiaji tindikali watu,kumpiga risasi Ponda na maovu yao yote. NJAA MBAYA..
 
mtu kama hamu kuna mda anakua kwenye period so full kuropoka na chadema ila tambua kua akili yako inapoishia ndo akili ya wanaosoma uzi wako zinapoanzia.
 
WANA HISA wa cdm ni raia wema,wana hisa wa ccm ni MAFISADI na WAUZA UNGA,NYARA ZA SERIKALI!Bi shosti Umejuaje kama cdm inajitosheleza kimapato weka hapa financial statements

Umetaja "financial statement" anaijua basi!!!? amekaa kimipasho zaidi..
 
Hiyo hiyo michango ndo itawaondoa Ikulu 2015
 
Hivi kama ccm inapata mabilion kwa mwezi na mapato ya biashara zake mbona mnamkamua bibi yangu kila mwezi alipie kadi eti awe mwanachama hai. Futeni hiyo michango kwa walalahoi kwa mwezi.
 
mtu kama hamu kuna mda anakua kwenye period so full kuropoka na chadema ila tambua kua akili yako inapoishia ndo akili ya wanaosoma uzi wako zinapoanzia.

Hapa hakuna cha akili nyingi, hapa ni kushinikiza CHADEMA kuacha utapeli.
 
Nimesema "tulaani utapeli huo",hivyo hata wewe unaweza kuwa mmoja wa watakao shirikiana nami kulaani huo utapeli wa CHADEMA.

Ipo Option ya kutuma kwa M Pesa. Ngoja nitume mimi kwanza kisha nitakujulisha kwa PM namna ya kutuma na wewe uwe sehemu ya UHURU wa Mtanganyika. Isiwe chini ya Tsh 50,000/- tafadhali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom