Omba omba jeuri.

Omba omba jeuri.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(OMBA OMBA):Jamani saidia baba saidia baba,naomba sh.100 (MPITA NJIA):Haya bwana,sh.100
hii hapa....lakini kwa nini umeniomba sh.100 tu,kwanini usiniombe sh.500,sh.2000 n.k (OMBA OMBA):Nimekuona tu,mwonekano wako,afya yako na mavazi yako,unaonekana mtu wa hali duni,hata hii sh.100 nashukuru kuipata kutoka kwako!
 
Ahahahahaaah!!! Huyo ombaomba kweli jeuri.....
 
hahahaha....huyu ni omba omba stadi, na jeuri
 
Back
Top Bottom