Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Asante kwa kuchangia.Kariakoo mtaa wa waswahili huwezi kujua kila mtu
Utaambiwa alikuwa tarishi
Mimi wananikera ijumaa tu wakifunga barabara ila utafanyaje viongozi wetu wanasema tuvumiliane
Kuna mtaa unaitwa Ditopile huyo alikuwa mswahili wa kwanza kumiliki Radio kwenye huo mtaa..Watu walikuwa wakijaa kwake kusikiliza taarifa ya habari.Mtaa ukapewa jina lake hapo ilala Dar es salaam kwa heshima yake.Kariakoo mtaa wa waswahili huwezi kujua kila mtu
Utaambiwa alikuwa tarishi
Mtaa wa DITOPILE???Kuna mtaa unaitwa Ditopile huyo alikuwa mswahili wa kwanza kumiliki Radio kwenye huo mtaa..Watu walikuwa wakijaa kwake kusikiliza taarifa ya habari.Mtaa ukapewa jina lake hapi ilala Dar es salaam kwa heshima yake.
Ndio unaitwa Ditopile streetMtaa wa DITOPILE???
Asante kwa taarifa.Ndio unaitwa Ditopile street
Ukiwaona wazuri nitupieKuna mtaa unaitwa Ditopile huyo alikuwa mswahili wa kwanza kumiliki Radio kwenye huo mtaa..Watu walikuwa wakijaa kwake kusikiliza taarifa ya habari.Mtaa ukapewa jina lake hapo ilala Dar es salaam kwa heshima yake.
Inaonekana labda jamaa alikuwa ni mtu wa kale pale maani kwaoMimi namjua omary nundu huyo omary londo simjui
Kama haumjui kaa kimya fala weweukimjua itakusaidia nini ?
Asante kwa kuchangia.
Pale Kariakoo napendaga kupita mtaa wa SWAHILI na SOMALI uwa nafajirika sana kuona watoto wa kisomali aisee🥰🥰🥰
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteeeeKama haumjui kaa kima fala wewe
Barikiwa sana mkuuOmary Londo nafikiri alikuwa meya wa mojawapo ya manispaaya dar es salaam ni kipindi kile walichojigawia majina ya mitaa ikiwemo makaba sidhani kama ana jambo alilofanya muhimu kwa jamii
Kudadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteeee
Umempa alichokitaka
Ova
Cc Mohamed SaidRejea na kichwa cha habri hapo ju.
Leo katika pitapita zangu kule mitaa ya Kariakoo s nikajikuta natokea mtaa wa Livingstone baada ya kuangaza macho huku na huko nikakuta kibao kimeandikwa OMARY LONDO na LIVINGSTONE.
Nikawa najiuliza huyu Omary Londo ni nani?