Omary Kimbau ahama CCM na kujiunga CUF

Omary Kimbau ahama CCM na kujiunga CUF

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,176
Reaction score
162,648
Ni baada ya kuamini kuwa hakutendewe haki katika kura za maoni katika jimbo la Mafia.

Bwana Kimbau amerudia kauli ya Baba wa Taifa kuwa watanzania wakiyakosa mabadiliko ndani ya CCM,watayatafuta nje ya CCM

Chanzo:ITV
 
muwe mnaweka picha jamani siyo kutoa uzi ambao si wa uhakika jaman.
 
Kwani alikuwaga ccm huyu Dogo janja namuonaga akiipiga madili tu Mikocheni. Ukawa safari hii inabeba mtandao uliochoka. Basi ccm itabaki safi aiseee...
 
Karibu Kamanda UKAWA, tulijua tu utafanyiwa umafia ndani ya CCM. Chukua form haraka ugombee kwa niaba ya CUF ndani ya UKAWA jimbo tulichukue. Washirikishe Baba na Mama ikiwezekana nao wahame, kubwa Jimbo sasa uhubiri ni UKAWA si CCM na Rais ajaye ni Lowasa. OK Omary?
 
sie tunahitaji numbers wacha waje baada ya uchaguzi tutaelewana
 
Kimbau nae anafuata mkumbo kama nyumbu..watu walishamkataa miaka kumi leo anataka kurudi tena
 
UKAWA ni mapngo wa Mungu na LOWASSA ndiye Rais wa Tanzania ajaye. UKAWA oyeeeeeeeeeee!!
 
kumbe kakatwaaaaaaaaaaaaaaa.

Ni baada ya kuamini kuwa hakutendewe haki katika kura za maoni katika jimbo la Mafia.

Bwana Kimbau amerudia kauli ya Baba wa Taifa kuwa watanzania wakiyakosa mabadiliko ndani ya CCM,watayatafuta nje ya CCM

Chanzo:ITV
 
Siasa za TANZANIA ni za KIJINGA kabisa,yaani mtu anasubiri KUKATWA ndio anasema chama kibaya!....ANGEPITISHWA angesema huu upuuzi??....yani viongozi wetu ni WAROHO wa madaraka kupindukia!!
 
Back
Top Bottom