ndo muda alioona ni muafaka, ila strategically amekosea sana manake amekubali kuwauza wenzake ili yeye ahurumiwe, bila kutafakari kuwa anajiweka mtegoni zaidi.. Kwa kifupi ameshakiri kuwa wizarani kwake kuna mapungufu.
kwa kifupi amedhalilisha hata uteuzi wa Rais wa huyo naibu waziri..Anapaswa kujiuzuru kwa sababu kama mbili,
1.0 Hana uwezo wa kutumia madaraka yake ipasavyo.
2.0 Hana maadili ya kazi yake.
Source
Mkuu ni aibu yaani Nundu anasema kwamba CCC walimfuata wakamwambia aende kuangalia miradi yao na wangemlipia yeye akakataa wakamfuata naibu wake (Mfutakamba) wakampeleka Uchina na Mauritania wakamlipia kila kitu na aliporudi akaandika taarifa ya kuipendelea CCC!
Hizi ni tuhuma nzito sana. Ina maana Naibu Waziri kwa lugha nyepesi alihongwa!
Mkuu ni aibu yaani Nundu anasema kwamba CCC walimfuata wakamwambia aende kuangalia miradi yao na wangemlipia yeye akakataa wakamfuata naibu wake (Mfutakamba) wakampeleka Uchina na Mauritania wakamlipia kila kitu na aliporudi akaandika taarifa ya kuipendelea CCC!
Hizi ni tuhuma nzito sana. Ina maana Naibu Waziri kwa lugha nyepesi alihongwa!
kwa kifupi amedhalilisha hata uteuzi wa Rais wa huyo naibu waziri..
source ITV hata mimi nimeona, so amini Mkuu. Na pia ni aibu kubwa sana kwa Naibu Waziri Mfutakamba ila ukweli ni kwamba nundu atakuwa ana uhakika na anachosema na pengine inagusa ofisi nyeti ambayo inayotoa kibali. Nadhani mpaka kesho mambo hadharani, ngoja tuvute subira.
Wana JF nimesikiliza sana utetezi wa waziri Nundu kupitia ITV alipokuwa ameitisha press conference Dodoma nimegundua utetezi wake ni dhaifu na hautoshi kukwepa kumuwajibisha!!!
Anasema hana uhusiano mzuri na naibu waziri wake, eti naibu waziri wake alikuwa anajifanyia ya kwake bila ya yeye kujua!!!!!
Kwa jinsi alivyojitetea ni wazi hana siri na shinikizo hilo limemchangana.
Naomba kwa ambao mmesikia sijui kama mmemuelewa?
Ningelikuwa JK ningemfuta kazi kwa jinsi alivyojidhalilisha yeye mwenyewe na serikali yake kwa ujumla!!!!
Nawasilisha.
.
Hata kwa tuhuma hizi nzito namna hii zinazotolewa na waziri dhidi ya naibu wake, hazimshtui hata kidogo rais wa nchi. Hapa mnaweza kujua bila kushinikizwa ni rais wa namna gani tulie nae.
.
Dr. Nundu ameongea vizuri sana kuhusu swala la bandari, kama unamuhukumu tafuta swala lingine. Na pia ni vizuri kuacha ushabiki tukasoma kidogo kuhusu maswala ya manunuzi
yaani hakuna hata maneno yaNamshangaa Kikwete sijui ni raisi wa aina gani.Ni wizi mtupu kila kona ya nchi.Unaona sasa inaonekana hawa wamedhulumiana rushwa wananyanganyana mlungula.Aisee hili ni balaa na aibu kwa nchi yetu,hivi sisi hatuna mamlaka ya kuwawajibisha hili genge la wezi wa mali ya nchi yetu?
Ndo yale yale kama hayo yalitokea alichukua hatua gani? Mbona leo baada ya hayo ndo anasema?Agoma kijiuzulu adai hajaambiwa ajiuzulu ila atafakari na anedai tatizo ni naibu wake sio yeye. Adai naibu wake kapewa rushwa kibao na wachina na safari za kutosha ili wapewe tender ya kujenga bandari.
Adai CCC ni kampuni na wanaoijua ni Naibu wake na TPA na ndio wanaotaka serikali ikope then iipe kampuni hiyo ya CCC ndo ijenge gati namba 13 & 14 zaidi wao ndo wanapanga bei na serikali iridhie bila discussion