Kwa hiyo unataka kusema mbowe tumpeleke kwenye riadha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesikia shahidi akielezea jinsi Bwashee alivyotoka nduki baada ya mlio wa risasi!
Hahahaa........!Kwa hiyo unataka kusema mbowe tumpeleke kwenye riadha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Al Bashir amepelekwa kabatini umeonaHahahaa........!
Anaweza kutuletea medali huyu kamanda!
Wewe ungesimama? kichaaUmesikia shahidi akielezea jinsi Bwashee alivyotoka nduki baada ya mlio wa risasi!
Ile zuga tu mkuu...... Museveni amesema atampa hifadhi ya kisiasa Uganda!Al Bashir amepelekwa kabatini umeona
Ova
Mbona JJ Mnyika alisimama?......hahahaa!!Wewe ungesimama? kichaa
Zuga wapiIle zuga tu mkuu...... Museveni amesema atampa hifadhi ya kisiasa Uganda!
Yeye hakuwa targetMbona JJ Mnyika alisimama?......hahahaa!!
Wewe endelea tu kuwa wa mwisho maana hakuna namna nyingine tunayoweza kukusaidia.Yatakuwa mazingaombwe maana kupindiliwa kwake hamna reaction yoyote mbaya,unataka kusema wote walimchukia?
Nitakuwa wa mwisho kuamini maana tokea nisikie kwamba mashtaka yake yatafanyika Sudan.
Karma
Teh teh teh! Sihitaji msaada kabisa ila nitakuwa wa mwisho na hizi drama maana Museveni anamtaka akaishi kwake as asylum.Wewe endelea tu kuwa wa mwisho maana hakuna namna nyingine tunayoweza kukusaidia.
Ha ha ha Mkuu Misasa, haya bwana.Teh teh teh! Sihitaji msaada kabisa ila nitakuwa wa mwisho na hizi drama maana Museveni anamtaka akaishi kwake as asylum.