Omar al-Bashir ahamishiwa gerezani

Omar al-Bashir ahamishiwa gerezani

Atawafanya wenzake wafikiris kuvunja magerez Yote ila wataona sio jambo jema! All in all kila kitu kina mwisho!
 
Dudu baya aliwashauri watu fulani waboreshe magereza wakamuona kama chizi ila iko siku watajutia kupuuza huo ushauri ambao pia umewahi kutolewa na watu wengine wengi siku za nyuma.
 
fatou ben'souda anamwangalia huku anacheka kihutu hiiii.... 😂😂😂
ipo siku watu hapa hawata amini macho yao!!
 
Nafikiri ni zamu yetu wadau
IMG-20190407-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190413_091114_319.JPG
    IMG_20190413_091114_319.JPG
    21.5 KB · Views: 26
Akaolewe na uzee wake huo
Sijui kiti cha Rais huwa kina utamu gani kukikalia
Sio kwa kung'ang'ania huko
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Haya mambo hapa tunayasema kama hadithi maana kuna watu washasema hawapangiwi baada ya kuonja utamu wa kiti kwa miaka mitatu! Ona Huyo kakaa 30 net, lakini Leo wapi yupo?
Kwa nini hatujifunzi? Lakini ndio binadamu tulivyo, mtu anaambiwa kuna ukimwi lakini akiona kipochi hicho! Hawezi kujizuia tena na Sikh kidogo ngoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa kuoana Jeshi linalinda wananchi wanaoandamana....na Omar alikuwa ameichukulia hii hali kama utani ilivyoanza kwa bei ya mkate.

-Jeshi huu ndiyo wakati wa kutumia akili zao vizuri Sudan isiwe kama Libya. Kufurahia ukombozi ni jambo jema lakini maisha ya Msudani ni marefu kuliko ukombozi wa mwezi mmoja.
 
Yatakuwa mazingaombwe maana kupindiliwa kwake hamna reaction yoyote mbaya,unataka kusema wote walimchukia?

Nitakuwa wa mwisho kuamini maana tokea nisikie kwamba mashtaka yake yatafanyika Sudan.
 
Si jambo la kufurahia la aliyekuwa Rais wa Sudan kuwa hapo alipo pia ni jambo la kuombea kwetu amani isitoweke
 
Yatakuwa mazingaombwe maana kupindiliwa kwake hamna reaction yoyote mbaya,unataka kusema wote walimchukia?

Nitakuwa wa mwisho kuamini maana tokea nisikie kwamba mashtaka yake yatafanyika Sudan.
Mkuu, huyu anaeongoza baraza la kijeshi saiv ni tofauti na aliejiuzuru maana aliejiuzuru alikua ni mshirika waake, kwahiyo kwa sasa lolote laweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom