Omar al-Bashir ahamishiwa gerezani

Hao wananchi wasipowatoa wakubwa wote wa jeshini basi hii movie itakuwa kama ya Egypt na Mubarak.
 
Mkuu, huyu anaeongoza baraza la kijeshi saiv ni tofauti na aliejiuzuru maana aliejiuzuru alikua ni mshirika waake, kwahiyo kwa sasa lolote laweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna mwingine alijiuzuru? Lakini unataka kusema jeshi na watumishi wote walimchukia al bashir?
 
Jeshi la Sudan linamlinda Bashiri asipelekwe ICC alafu wanazuga kwamba yupo Gerezani kutuliza moto.
 
Amehamishwa hapo makao makuu ya jeshi ili kuondoa kero ya waandamanaji nje ya eneo hilo.

Jeshi limeagiza kuchunguzwa mahesabu yote ya serikali na matumizi ya fedha za umma.

Pia ndugu, jamaa na marafiki wa karibu (ambao hawatajwi) ambao walikuwa wakichezea mali ya taifa wamesombwa wote na wako lupango huku uchunguzi huo ukiendelea.

Kuna uwezekano wa Al Bashir kupewa hifadhi ya ukimbizi nchini Uganda ila bado haijawa habari kamili.
 
Unalala Raisi ukiamka unaitwa mahabusu /mfungwa.
 
Yatakuwa mazingaombwe maana kupindiliwa kwake hamna reaction yoyote mbaya,unataka kusema wote walimchukia?

Nitakuwa wa mwisho kuamini maana tokea nisikie kwamba mashtaka yake yatafanyika Sudan.
No taarifa zinazotolewa kapelekwa gerezani. Lakini hakuna taarifa za kuonekana gerezani.

Nadhani jeshi linaogopa pressure ya raia maana bado wamefyata.

Lakini Museven kashasema atampa asylum nchini mwake.
 


Ex President of Sudan Omar Al-Baashir has been taken to a maximum security prison where he used to lock up his political opponents.
 
View attachment 1074522

Ex President of Sudan Omar Al-Baashir has been taken to a maximum security prison where he used to lock up his political opponents.

Add this one too

By Mitra Taj and Marco Aquino

LIMA (Reuters) - Peru's former president Alan Garcia shot himself in the head on Wednesday to avoid arrest in connection with alleged bribes from Brazilian builder Odebrecht, taking his own life, in the most dramatic turn yet in Latin America's largest graft scandal.



https://www.yahoo.com/news/perus-ex-president-garcia-shoots-himself-police-tried-130403322.html
 
Na wenzie akina Fuji Mori wapo lupango. Mtoto wa Fujimori naye ndani. Almost 3 former presidents are in Prison. Wetu wana kinga ya asili hawana dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…