Olympiki - Target 2012 - Medali 20

Kuna Wakenya wengi sana ambao wanapata scholarships za riadha wakimaliza high school. Unakuta wanakuwa trained na vyuo vikuu au hata na makampuni makubwa waliyoajiriwa.

Nafikiri michezo kwenye mitaala ya shule (japo kwa shule maalum) ni muhimu katika kuendeleza vipaji.
 
I can't believe miaka miwili imepita tangu tuje na ndoto hii na hakuna lolote lenye kuonesha dalili kuwa tunajua kuna Olimpiki 2012 wakati wenzao hapa US na kwingine wameshaanza maandalizi.
 
Hadi hivi sasa hatujajiandaa wala kuanza maandalizi ya Olimpiki 2012! Miserable people...
 
MIKAKATI:

  • 0. Kuunda Kamati ya Ushindi ambayo itasimamia maandalizi haya ya Olympiki. Kamati hiyo itaundwa na watu wote ambao hawajawahi kusimamia maandalizi ya Olympiki kabla! Iundwe na wataalamu wa chakula, wataalamu wa afya, wanamichezo, conditional pyschologists, na iwekwe chini ya mtaalamu wa riadha kutoka China. Huyo Mchina na timu ya wasaidizi wapewe uwezo wote wa kusaka, kutambua, na kukusanya vipaji vya vijana wa Kitanzania na itakapofika 2010 awe tayari na timu ya vijana wasiopungua 100 kuwaandaa kwa Olympiki.
maskini mwanakijijiiii.......tatizo lipo hapo mazee......
 
[/LIST]
maskini mwanakijijiiii.......tatizo lipo hapo mazee......

Kama watu waliamua kubeba wake zao badala ya wanamichezo tutarajie nini?
DSC01341.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom