Sio ndugu yake huyu ni dalali shtuka mjini hapa Dotto oohoUmeuliza swali la kipumbavu sana. Huyo ndugu yako awe makini sana na ndugu mpuuzi kama wewe vinginevyo kwa asili ya hiyo kazi yake anaweza jikuta nyuma ya nondo.
Kuna tatizo kaka kujua maslahi ambayo mdogo ake anaenda kupata kazin?Nini sababu ya msingi haswa, kwa swali hili.
Unataka kujua kwa sababu ipi?
Kuna tatizo kaka kujua maslahi ambayo mdogo ake anaenda kupata kazin?Nini sababu ya msingi haswa, kwa swali hili.
Unataka kujua kwa sababu ipi?
Kuna tatizo kaka kujua maslahi ambayo mdogo ake anaenda kupata kazin?
Pale huwa laki na themanini ikizidi labda laki 2
Dalali?Wewe sio dalali?
Duh!Pale huwa laki na themanini ikizidi labda laki 2
Huelewei hata nn nimeuliza mkuuPump attendant ndio laki mbili
Nimemjibu extrovertHuelewei hata nn nimeuliza mkuu
Mjini hapa Dotto madalali wapo kibao mpaka wa beki 3 alafu wanakula cha juuDalali?
Hivi kuna udalali kwenye kutafuta kazi?
Ndio nasikia kutoka kwako ndugu
HahahaMjini hapa Dotto madalali wapo kibao mpaka wa beki 3
Huelewei hata nn nimeuliza mkuu
Ya waswahili imekaaje?Pale wasomali wana mishahara yao na waswahili mishahara yao
Karibu tenaHahaha
Sawa ndugu
Wewe ujulishwe ili ufanyeje? Mnapenda kufuatilia mishahara ya watu, kazi yenyewe ya laana 'muhasibu' kazi ya laana hii (vilio vyote kwa muhasibu) na wewe unataka ujue analipwaje ili iweje?Wadau mwenye kufahamu naomba anijulishe
Habari mkuu, Kuna jambo mkuu nakuja inboxSasa kazi apate ndugu yako halafu we unataka kujua maslahi yake? Ili uanze kumganda au?
Pambana kijana
Nmekuelewa japo mshauri aulize maana sio kosa kuuliza mshahara wakoNaomba kufahamu maslahi yake yakoje kwa wafanyakazi
KUna ndugu yangu kapata kazi
Asante.
Kuna watu wanatumia vibaya tatizo la ajira kunyanyasa waru ndo maana hata biashara nyingi hazikui na zingine hufa. Kuna mtu ana shule yake yenye miaka 16 sasa ila haikui kwa sababu ya huo upuuzi wa kutaka kulipa waalimu competent kwa hela ya karanga.Nmekuelewa japo mshauri aulize maana sio kosa kuuliza mshahara wakohaezi kufkuzwa kazi akiuliza wanataka kumlipa sh ngapi?
Ila najiuliza tu , hawakumuuliza salary expectations? Pia hawajampa barua ya offer ili asaini ?? Anyway bongo tunanyonyana sana maana kuna kazi nmeona inatangazwa Facebook mtu awe na diploma ya umeme (ambayo ada ni zaidi ya milion 5 kwa miaka 3) lakini uko Facebook mshahara wanasema watampa laki Moja na nusu kazi ya kuuza vifaa vya umeme.
It's so