Olewa tu

CIRDRAH

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Daaah!!moyo wangu waniuma sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita juzi kalipiwa mahari!!BADO SIAMINI ILA NDO ISHATOKEA....
 
Xafi hiyo! Maisha ni pata potea. KUBALI YAISHE. Next time ukimpata mwingne na kuamini anakufaa...na wew kalipe mahari fasta...sio unauweka ucku....wskakati wajua chombo chenyew ni mng'ao na umekitelekeza juani. NAAMINI UMEJIFUNZA XOMO ZURI HAPO...Boresha sasa.
 
Mbona kawaida kabisa iyo wewe ulimuingiza ulimwengu wa mapenzi jamaa wamefanya kweli, usingemuingiza jamaa wasingempenda
 
Hivi kumuingiza mtu kwenye ulimwengu huo (Which is rather ridiculous, kwa sababu we ulikuwa unatafuta raha zako mwenyewe in the process), ndo unakuwa na claim kwake?
Ungechelewa mbona angekuja mwingine angemuingiza na kumuoa with you out of the picture?

Ndo maisha mkigombana mwingine anakubembelezea na anaonekana kidume
 
Unajitapa kumuingiza ulimwengu wa mapenzi wakati wenzako wanasomesha kuanzia nursery hadi PHD na bado wanapigwa chini??

Maisha matamu sana ukiyafanya marahisi.
 
Labda alikuona huna uelekeo wa KUMUOA unamtumia tu!Nadhani ungekuwa umeshatangaza nia asingeenda kwingine!
 
kula maisha asee... bwana einstein alisema
"everything should be made as simple as possible but not simpler"... vinginevyo utakufa siku si zako.......

na kwenye harusi nenda ukale mpunga huo na bia za kutosha
 
Aliyempenda kweli binti wa watu anamuoa! Nimempenda sana huyo binti ana visions! Hakuweka mayai yote kwenye kikapu kimoja!
Mjanja kama nyoka mpole kama Huwa! Safi sana!
 
Ya kawaida hayo mdau.. Mi nimetemana na mtu last year kufumba na kufumbua nakutana na notification ya fb kuwa keshapata mwenza!! Nika like kinafiq maisha yanaendelea...
 
kila la kheri ktk ndoa yake mungu ni mwema atakujalia na wew
 
kula maisha asee... bwana einstein alisema
"everything should be made as simple as possible but not simpler"... vinginevyo utakufa siku si zako.......

na kwenye harusi nenda ukale mpunga huo na bia za kutosha

si hadi apewe mualiko
 
Tafuta mwingine umwingize kwenye ulimwengu wa mapenzi haklafu umuoe.
 
Nafikiri aliyepaswa kuumia ni huyo dada...kuingizwa kwenye huo ulimwengu na wewe af kuolewa na mwingine
 

dah jf tamu sana kuliko nn aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…