LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,304
Sina uhakika sana kama kisa hiki kilitokea kweli lakini kama kilitokea KUDOS kwa mtenda. In addition to that, i wish to do exactly the sama. Soma mwenyewe:
" Et jamaa kaingia bar kwa fujo..
JAMAA:lete bia hapa,na kila mmoja humu ndani mpe bia yake,maana nikinywa bia nataka kila mtu anywe bia..
WATU:Haaa..wakapewa bia
JAMAA:Lete mchemsho hapa,na kila mmoja mpe mchemsho wake,mana nikila mchemsho na kila mtu ale mchemsho
WATU:eeee..makofi kwa jamaa..muhudumu akawapa
JAMAA:leta bili hapa na kila mtu mpe bili yake mana ninapolipa bili nataka nione kila mtu analipa bili yake..
WATU: Vilio na mayowe!!
USIKU MWEMA
" JAMAA:lete bia hapa,na kila mmoja humu ndani mpe bia yake,maana nikinywa bia nataka kila mtu anywe bia..