Kuna viongozi wa awamu ya 6 wengi wao ni wasomi wa level ya PhD na Profesa kwenye finance bill ya bajeti ya 2026 wameamua kuwapa msamaha wawekezaji wa madini wasilipe share ya 16% na loyalty fee ya 6% kwa watanzania!! Jambo ambalo ni kinyume na sheria ya madini ya mwaka 2 018
Muda unakuja...
Mnamo 30 Juni 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipitisha Sheria ya Fedha Na. 11 ya 2025 (Sheria ya Fedha), ikileta mabadiliko muhimu katika sheria kadhaa, ikiwemo Sheria ya Madini, Cap. 123 R.E. 2023 (Sheria ya Madini). Mabadiliko haya ni sehemu ya mageuzi ya kifedha na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.