sio mtoto huyo mkuu mcheki vizuri kabisa kwa utulivu mwanana utagundua kuwa ni mkubwa mwenziolabda kama ni wale wenzetu wa kongo ila kama ni mtoto kweli haipendezi kuwatumia kwa njia isiyofaa kama hiyo ya kuwawekea maneno ya kikubwa na yasiyofaa kama hayo juu tena ikionyeshwa kuwa yeye ndiye msemaji!
sio mtoto huyo mkuu mcheki vizuri kabisa kwa utulivu mwanana utagundua kuwa ni mkubwa mwenzio