That was a statement... Sikuona anamwajibisha mtu yoyote pale
Alitoa angalizo tu
Mkuu, muda wa kuremba umeisha... Tulikua tumezidi ujinga, wacha tu mkuu ajaribu mbinu nyingine
CL 111 kwan yy alikua FoE (CoET)pia kule kwao CoNAS n optional Wenda hakusomaJana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!
Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!
Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!
Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!
Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Ukiitwa mahakamani utatoa ushahidi ?Mie sioni Tatizo maana MECK SADICK nae mwizi tu tena Jipu maana JPM anawachukulia watawala wa JK km WEZI so MECK SADICK kwanini hakuwai kukagua bandarini kuhusu mafuta yeye si kiongozi wa USALAMA wa MKOA na wanariport kwake sasa huo wizi wote unafikiri wakina OIL COM walikua wanamuhonga nani
Mimi ntabaki kujadili kauli aliyomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar... kwani ndiyo inayojadiliwa humuJanjaweed sikatai kwa miaka 20 watu walijifunza kupora na kuiba tu.Lakini bado lazima kama Rais aangalie kauli zake anazisemea wapi na kwanini.
Mfano kuna mahali wamemnukuu akisema WAFANYAKAZI WOTE WA SERIKALINI ni wanachama wa CCM??Wajinga kama sisi tunahoji je,ni kweli statement hiyo???Kwa hiyo kama ni kweli anatuaminisha kwamba hata wale wanaotakiwa kuwa neutral kama MAHAKAMA,HOSPITALI,POLISI,JESHI,TUME YA UCHAGUZI,VYUO VIKUU vyote havitatenda haki kwa wasiokuwa wanachama wa CCM???Na mbaya zaidi tumeona wanafunzi wakifukuzwa kwa sababu ya itikadi zao.
Nikabaki kujiuliza je Magufuli ni RAIS wa WANACHAMA WA CCM au ni RAIS wa WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZETU???
Ulimi huumba mambo mengi.Na hakika nimemuona sasa si RAIS wa watanzania wote bali ni RAIS wa WANACCM...........
Hao watu wazima unaowasema wewe waliheshimiwa wakatufikisha hapa tulipo, wengine wamekwenda mbali kujiita eti 'Nyoka mwenye kengeza' katikqa kutafuna fedha za umma, wengine wakatueleza 'tutakula nyasi' hao wote vichwa vyao vina mvui. JPM twanga twenda baba, bora punda afe mzigo ufikeJana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!
Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!
Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!
Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!
Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Hana ushahidi... Kaamua kutafsiri kauli atakavyo sasa inamuumiza mwenyeweUkiitwa mahakamani utatoa ushahidi ?
Nimeamin nyie n wazee wa matukio na kutafuta makosa alafu cha kushangaza badala ya kumshusha jpm na shombo zenu ndio anapanda chati kwa wananchiJana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!
Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!
Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!
Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!
Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Mimi ntabaki kujadili kauli aliyomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar... kwani ndiyo inayojadiliwa humu
Hiyo ya kuhusu wafanyakazi wote wa serikali kuwa CCM nitaijadili kama itakua na thread yake, kwasbabu sio kauli sahihi
naomba tukomae na hoja hii iliyo mezani kwanza, usihamishe magoli.... It was right for him kumpa ukweli mkuu wa mkoa kwamba ole wake aharibu mambo. Nyerere aliitumia sana , na pia hata sisi kwenye positions zetu tunatumia, hasa kama assignment anayopewa mtu ni critical na kuna risk inayohusika kwa kiasi fulani
I beg to differ