"Ole wako uzitumie vibaya" haikuwa kauli sahihi kutoka kwa rais kumueleza Meck Sadick hadharani!

That was a statement... Sikuona anamwajibisha mtu yoyote pale

Alitoa angalizo tu

Mkuu, muda wa kuremba umeisha... Tulikua tumezidi ujinga, wacha tu mkuu ajaribu mbinu nyingine

Janjaweed sikatai kwa miaka 20 watu walijifunza kupora na kuiba tu.Lakini bado lazima kama Rais aangalie kauli zake anazisemea wapi na kwanini.

Mfano kuna mahali wamemnukuu akisema WAFANYAKAZI WOTE WA SERIKALINI ni wanachama wa CCM??Wajinga kama sisi tunahoji je,ni kweli statement hiyo???Kwa hiyo kama ni kweli anatuaminisha kwamba hata wale wanaotakiwa kuwa neutral kama MAHAKAMA,HOSPITALI,POLISI,JESHI,TUME YA UCHAGUZI,VYUO VIKUU vyote havitatenda haki kwa wasiokuwa wanachama wa CCM???Na mbaya zaidi tumeona wanafunzi wakifukuzwa kwa sababu ya itikadi zao.

Nikabaki kujiuliza je Magufuli ni RAIS wa WANACHAMA WA CCM au ni RAIS wa WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZETU???

Ulimi huumba mambo mengi.Na hakika nimemuona sasa si RAIS wa watanzania wote bali ni RAIS wa WANACCM...........
 
Taarabu zipo nyimbo za kumbeleza zipo rais hana fani yyte ya usanii kama akina diamond naombeni mwacheni rais wetu alopoke ya moyoni kwa sbb yanatufurahisha na kutupa tumaini hana unafiki pumba ibaki pumba na mchele ubaki mchele
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
CL 111 kwan yy alikua FoE (CoET)pia kule kwao CoNAS n optional Wenda hakusoma
 
Huko tuendako watu hawatakuwa tayari kukubari kuteuliwa katika uongozi huu wa Magufuli na mwisho wa siku atajikuta watu wote wenye uwezo mkubwa wa kuiendeleza nchi hii wanakaa pembeni na kumuacha na viongozi magoigoi ambao wanaishia kutembea na waandishi wa habari huku wakisimamisha watumishi kazi pasipo kufuata taratibu na miropoko isiyo na tija kwa Taifa.
 
... Lakini baada ya kuambiwa hivyo meck sadik alionekana kucheka sasa sijui ilikuwa ni kicheko cha uoga au cha kinafki
 
Watu wengine akili zenu bana sijui mmeazimwa! Yaani mmetafuta cha kukosoa kwenye utendaji wake mmekosa sasanatafuta mpaka misemo kama wazaramo! Go to hell motherfuck
 
Mie sioni Tatizo maana MECK SADICK nae mwizi tu tena Jipu maana JPM anawachukulia watawala wa JK km WEZI so MECK SADICK kwanini hakuwai kukagua bandarini kuhusu mafuta yeye si kiongozi wa USALAMA wa MKOA na wanariport kwake sasa huo wizi wote unafikiri wakina OIL COM walikua wanamuhonga nani
Ukiitwa mahakamani utatoa ushahidi ?
 
Janjaweed sikatai kwa miaka 20 watu walijifunza kupora na kuiba tu.Lakini bado lazima kama Rais aangalie kauli zake anazisemea wapi na kwanini.

Mfano kuna mahali wamemnukuu akisema WAFANYAKAZI WOTE WA SERIKALINI ni wanachama wa CCM??Wajinga kama sisi tunahoji je,ni kweli statement hiyo???Kwa hiyo kama ni kweli anatuaminisha kwamba hata wale wanaotakiwa kuwa neutral kama MAHAKAMA,HOSPITALI,POLISI,JESHI,TUME YA UCHAGUZI,VYUO VIKUU vyote havitatenda haki kwa wasiokuwa wanachama wa CCM???Na mbaya zaidi tumeona wanafunzi wakifukuzwa kwa sababu ya itikadi zao.

Nikabaki kujiuliza je Magufuli ni RAIS wa WANACHAMA WA CCM au ni RAIS wa WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZETU???

Ulimi huumba mambo mengi.Na hakika nimemuona sasa si RAIS wa watanzania wote bali ni RAIS wa WANACCM...........
Mimi ntabaki kujadili kauli aliyomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar... kwani ndiyo inayojadiliwa humu

Hiyo ya kuhusu wafanyakazi wote wa serikali kuwa CCM nitaijadili kama itakua na thread yake, kwasbabu sio kauli sahihi

naomba tukomae na hoja hii iliyo mezani kwanza, usihamishe magoli.... It was right for him kumpa ukweli mkuu wa mkoa kwamba ole wake aharibu mambo. Nyerere aliitumia sana , na pia hata sisi kwenye positions zetu tunatumia, hasa kama assignment anayopewa mtu ni critical na kuna risk inayohusika kwa kiasi fulani

I beg to differ
 
Inategemeana na mazingira ya kauli,Kwa upande wangu nilimwelewa km anaonyesha msisitizo katka kufikisha ujumbe hata Kwa wengine
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Hao watu wazima unaowasema wewe waliheshimiwa wakatufikisha hapa tulipo, wengine wamekwenda mbali kujiita eti 'Nyoka mwenye kengeza' katikqa kutafuna fedha za umma, wengine wakatueleza 'tutakula nyasi' hao wote vichwa vyao vina mvui. JPM twanga twenda baba, bora punda afe mzigo ufike
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Nimeamin nyie n wazee wa matukio na kutafuta makosa alafu cha kushangaza badala ya kumshusha jpm na shombo zenu ndio anapanda chati kwa wananchi

Tulieni dozi iingie maana ufipa sasa inaenda inasahaulika taratibu
 
Nishasema hapa kwamba Magufuli ni dikteta, hajui kuongea na ni mshamba.

Asante kwa kuliona hilo.
 
Mtanzania huwezi kumridhisha kwa 100% lazima atalalamika tu, Magu afanye vile anaona ni sawa
 
Kikwete alisema kama.Mimi mpole nimewaletea mkali,
baada ya kuwa na raisi mpole sasa mnahitaji raisi mkali.

Sasa mnaanza kulialia jpm twende kazi,
Muhimu yote yanayofanyika yanafanyika kwa maslahi ya wananchi walio wengi ambao ni masikini.
 
Mimi ntabaki kujadili kauli aliyomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar... kwani ndiyo inayojadiliwa humu

Hiyo ya kuhusu wafanyakazi wote wa serikali kuwa CCM nitaijadili kama itakua na thread yake, kwasbabu sio kauli sahihi

naomba tukomae na hoja hii iliyo mezani kwanza, usihamishe magoli.... It was right for him kumpa ukweli mkuu wa mkoa kwamba ole wake aharibu mambo. Nyerere aliitumia sana , na pia hata sisi kwenye positions zetu tunatumia, hasa kama assignment anayopewa mtu ni critical na kuna risk inayohusika kwa kiasi fulani

I beg to differ

Nyerere haukuongea kwa kudhalilisha kama afanyavyo Magufuli.Alikuwa mkali kwa watumishi hasa waliokuwa chini yake lakini hakutumia lugha ya Mzee wetu Magufuli.Unaweza kumkaripa mtu ukatumia lugha ya kiungwana na bado ikaleta the same impact.

Janjaweed sikukatalii kwamba kwa miaka siyo kumi ti bali ishirini wafanyakazi wa serikali walikuwa wanajifunza wizi zaidi,Rushwa na Ufisadi,lakini bado kuwadhalilisha majukwaani hakuleti picha nzuri.Mwite mweleze ukweli,haiwezekani mfukuze tu
 
Back
Top Bottom