Ole wako NEC, na yeyote yule aliyejipanga KUHUJUMU uchaguzi 2020

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Matendo ya Mungu ni Makuu yanatisha kama nini!!
Ole wako Wewe Rais, Waziri, Mbunge, Diwani, M/kiti wa Mtaa, Balozi wa nyumba kumi.
Ole wako wewe Mkuu wa Mkoa, M/wilaya, Mkurugenzi Manispaa.

Ole wako Nec, na yeyote yule aliyejipanga KUHUJUMU uchaguzi 2020, Nawahakikishieni ndugu wana JF!!! Kama MUNGU aishivyo hakuna atakae iona tarehe 1 January 2020 kwa yeyote aliye kinyume na HAKI YA MPIGA KURA

Tumeamua kusimama nakumlilia Mungu ipasavyo, na hakika Bwana ni Muaminifu atajibu...tena kwa moto, tumekuwa ni watu wakulalamika muda mrefu tukiitafuta haki lkn kumbe haki inayeye!!!
Si kwa uweza, Bali ni kwa NGUVU, si muda wakulia lia tena wala si Muda wakulalamika, simama kwa miguu yako ungana nami na walio nami kwaajili ya Nchi ya Tanzania,

Tumesimangwa, tunadhihakiwa, chochote wanachojiskia kuongea wanaongea bila kujali Yeyote, Hawana Upendo tena, SUMU YA FIRA II CHINI YA ULIMI WAO, Wamejihesabia haki, wanaamini hakuna kama wao.
Wanajihakikishia haki kwa Dola waliyo nayo, wamesahau kwamba WAMEKOPESHWA PUMZI WALIO NAYO
Wanaringa kwa Magari na Farasi zao....Heey!! Sisi tunaliitia JINA LA BWANA, aise tunakuja kwa Jina la Bwana.

Akasema leteni hoja zenu zenye Nguvu mpate kupewa haki yenu....
Ni kweli Bwana....tumekuja kama tulivyo na Hakika Babeli Utaanguka.
NA HAPO NDIPO ITAKAPOJULIKANA SASA, KWAMBA KATI YA MUNGU NA SHETANI NI NANI ALIYEMUUMBA MWENZAKE.

Ccm mkamuulize Farao
"Nami nitaunyosha mkono wangu, na kuipiga Misri kwa ajabu zangu zote, nitakazofanya kati yake, kisha baadaye atawapa ruhusa kwenda."
(Kuto 3: 20)
Ni baada ya kilio cha Wana wa Israel kumfikia Mungu....Tanzania Bwana ametusikia, nasi tutashuka Penye kiti chake cha Enzi na HATANYAMAZA.

Hakuna jiwe juu ya jiwe litakalo salia
Note my words
Uzi huu utashuudia niliyoyasema.

Prs Frank.
 
Hahaaa... bhange bana. BWANA ENU NANI? Sikujua kwa nini mlikuwa mnashabikia ushoga, kumbe tayari ni wake za watu!!!
 
Umejigeuza 'nabii' ....!!, Chadema mnaweweseka....!! Mda si mrefu mtakuwa wachawi.
 
Back
Top Bottom