ole wako C.T.U!

ole wako C.T.U!

Last edited by a moderator:
Hivi mnajua niko busy nafuatilia hii ripoti ya CAG sasa na nyie mnavyopost kuhusu kumtaka sijui secretary mie hata sielewi... labda kuna mtu kaelewa anisaidie kunielewesha
 
We niletee nyodo mshindo na shombo yako ya samaki itakuisha

Watu wanaoshindwa kutofautisha rangi tunawaita watu wenye colour blindness sasa wewe unayeshindwa kutofautisha harufu ya boss original na shombonya samaki sijui tukuiteje
 
Bishanga tangu nikupige kibuti pale Ambrisia unaweweseka kama nini
Niko Antananarivo natizama utalii wa kitamaduni

Unafanya cultural tourism sio....sijakuona uda Kongosho, Then vipi watoto wa huko wakoje..nusu wahindi nusu waaafrika sijui wachina?
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa ukifika Pemba usiache kufika kwa ust. Mwinyiubwa Mtyapeku, maeneo ya Mshikauchi , mtaa wa Mwambaku.ndu! Mandingo yake ni fasta! Mate hayakauki ! Ndingo linajibu fasta.
Au ukitaka mtu akojoe dagaa mchele, au wa Kigoma, au uduvi ama furu, utakavyotaka!

Mkuu acha kutia chumvi. walete huku Supreme Court walete hoja zao kabla ya kuwahukumu, kuzengea tu haitoshi kumtia hatiani CTU
 
Back
Top Bottom