ole wako C.T.U!

ole wako C.T.U!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Djuu ya nini unamzengea Mai waif wangu The secretary.
Kwa taarifa yako naelekea Pemba maeneo ya mkokotoni Kisha napanda hadi ras mkunbuu namalizia matanga twani nikitoka hapo nashuka mafia naanzia kirongwe,napanda ndagoni namalizia anjwan,......by that time utakuwa unatamani mke wangu akuzae umwite mama!
Dadadadadeki ccm hoyeeeee....
Kopi: Kongosho na madame.....tangazeni hali ya hatari cc
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa ukifika Pemba usiache kufika kwa ust. Mwinyiubwa Mtyapeku, maeneo ya Mshikauchi , mtaa wa Mwambaku.ndu! Mandingo yake ni fasta! Mate hayakauki ! Ndingo linajibu fasta.
Au ukitaka mtu akojoe dagaa mchele, au wa Kigoma, au uduvi ama furu, utakavyotaka!
 
we subiri tu nitakuhabarisha,mwaka huu mpaka seva ya jf itachomoka yenyewe miwaya,haiwezekani wabeba box wa Dubai waje kutuchezea hapa,gesi watunyang'anye,pundamilia,twiga wabebe kwenye mindege,hata wake zetu?
 
Sasa mie wanawake wooote hao wa dubai nije kwa huyo sijui katibu muthkasi kwa kipi alichonacho mtu mwenyewe ana kwapa jeusi kama pua ya mbwa
 
Sasa mie wanawake wooote hao wa dubai nije kwa huyo sijui katibu muthkasi kwa kipi alichonacho mtu mwenyewe ana kwapa jeusi kama pua ya mbwa

Mkubwa una maneno mazuri ya kuandikia kwenye Khanga!
 
...........where the f......... is my beretta!!!!??? Bishanga
i still feel like slaughtering......................!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mie wanawake wooote hao wa dubai nije kwa huyo sijui katibu muthkasi kwa kipi alichonacho mtu mwenyewe ana kwapa jeusi kama pua ya mbwa

Usije ukasema mimi ndo nimekurestisha kwenye seva,kwa tambo hizi......haya ngoja wamiliki wajf waje....... King'asti pliz kam zis wey,kuna uzalilishaji hapa.
 
Last edited by a moderator:
...........where the f......... is my beretta!!!!??? Bishanga
i still feel like slaughtering......................!!!!!

Gubu hilo sasa Paloma......kha toka jana?........ nitamwambia mdogo wangu asikuoe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom