GE2025 Ole Sendeka: Wanasiasa acheni kutumia vibaya mitandao ya Kijamii, tumieni kulinda misingi na umoja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi za Urais ubunge na udiwani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarahe 29 mwezi Oktoba mwaka huu kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii huku akivitaka vyama hivyo wa Kitaifa uliowekwa na wasisi wa Taifa la Tanzania kwa ujumla.

Chawa zwazwa lililotoswa na sasa linajipendekeza na kujigongagonga ka deeemu. Morani wa kweli hawi hivi
 
Back
Top Bottom