Ole Sendeka: Marufuku vyama vya upinzani kufanya vikao mkoani kwangu

Huwezi kunenepa bila uwiano kati ya mwili na kichwa lazima ukose afya ya ubongo. Msameheni, sio yeye ni minyoo ya tumbo.
 
Jf imevamiwa,yaani umshindwa kujenga hoja tukuelewe uyo RC kafanyeje,umebaki kubwajabwaja unadhani mlevi
 
"Nikikukuta nitakushukia kama mwewe" alisema Ole Sendeka.

Source: TBC1 Dira ya mchana.

My take.
Viongozi wetu ni bora wawe wazi kama hawataki uwepo wa vyama vingi.
Kwakweli sijui niite ujuha uliopitiliza huo mkoa wake wanakatiba yao? Au na yeye ameanzisha nchi yake na kuamini mkoani kwakwake ni ccm tu atambue kila mwenye umri wa kuanzia miaka 18 anaouwezo wa kuamua nini afanye kuongoza si kuwachagulia watu nini wapende ndio maana yeye inaweza kuwa anakula kwa dhuluma lakini humohumo mkoani kwake wengine wanakula kwa kubeba zege wasiogope mikutano nahisi wanaikataa kwakuwa watu watajuwa dhuluma wanayofanyiwa na ukatili mkubwa dawa ya kuzima moto nikuufukia na mchanga sio kuufunika na majani iposiku utaripuka matamshi yao iliyasilete madhdra yaendane na unafuu wa maisha yawatu lakini hayo matamshi yakiendelea kutunisha matumbo yao iposiku itakubalaa huyo aliotoa matamko atakimbilia nchi jirani nakuikana tz pia kujiita ni wahuko atakapo kimbilia
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu huu ni uhaini. Huyu bwana kajitangazia jamhuri yake ambayo haitambui siasa ya vyama vingi.
 
huyu mpuuzi si ndie aliyepata F zote form six,Muhongo njoo utusaidie kumtuliza huyu mtu
halafu huku kigamboni kuna binti yake wa pembeni
 
Back
Top Bottom