Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka amekanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii jana, ikimhusisha na kueleza kuwa CCM imetoa taarifa ya kukanusha madai ya hivi karibuni yaliyotolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
“Hiyo taarifa siyo ya kwangu (Sendeka) wala siyo ya Chama Cha Mapinduzi…ni taarifa ambayo haikutolewa na mimi wala na chama chetu,” alisema Sendeka alipozungumza na gazeti la Habari Leo jana jioni.
Chanzo: Habari Leo