Moja ya mambo tulitaka kumhoji ni hili la ubilionea wake!Billionea Sabaya!
View attachment 1786713
Moja ya mambo tulitaka kumhoji ni hili la ubilionea wake!
Kwamba iweje miaka 2 iliyopita alikuwa anaishi kwa kunywa bia na nyama za kukopa pale Arusha au kutumia kitambulisho bandia cha TISS na leo ni bilionea?
Alikuwa anafanya biashara gani Hai? Au mihandarati?
Good newsKahifadhiwa 'sehemu salama' kwa mahojiano zaidi. Kila kitu kilikuwa tayari, baada ya kusimamishwa tu, MWEWE wakamnyakua.
Kuna mahali walikuwa wamejifungia Jana kwa ajili ya kuanzisha topic za kujitetea as if wanaccm hawakupendezwa kwa kutumbuliwa kwake.Toka atenguliwe na itangazwe anachunguzwa DC mwenye tuhuma Ole Sabaya haonekani popote sio nyumbani sio vituo vya polisi.
Sisi watu wa habari tulitaka kufanya naye mahojiano naye kupata habari zake za ukweli tofauti na mahojiano aina ya Clouds media.
Sasa hivi Sabaya ni mtu maarufu sana hasa katika nyanja ya kuwa Mwanasiasa Jambazi hivyo kupata mahojiano naye atashare na wengine uzoefu wake kwenye nyanja hiyo.
Au naye kesha chukuliwa na watu wasio julikana?
Anayefahamu atujulishe tumfate tukamilishe lengo letu
Uliishawahi kuona MWEWE anamnyakua MWEWE mwenzake?Kahifadhiwa 'sehemu salama' kwa mahojiano zaidi. Kila kitu kilikuwa tayari, baada ya kusimamishwa tu, MWEWE wakamnyakua.